Jamani CCM wameanza tena propoganda zao chafu za sms, hebu angalia hii

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,231
1,470
Sms hii inasambaa kwa kasi sana sijui ww imekufikia?

Quote MPANGO WAFICHUKA!!! CHADEMA wametenga bilioni 20 za chakula,malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza,Musoma,Mbeya,Moshi na Arusha kupelekwa jijini Dar kwa ajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK. End quote
 
Noo wana jf be carefully, tusfurah na kusema kua tupo tayari, kufanya ivo, noo! Izo ni njama za adui yetu kuwaua wafuas wachanga wa CDM kwa kuwaonesha kua CDM ina nia mbaya. CDM inao wataalam makin wa IT watusaidie kujua chanzo cha Msg hyo ili tufaham nin cha kufanya b4 its implications of that msg to pples. CDM member i advice you even to b careful, dont show up ua identity card of CDM openly and anywhr.
 
kweli bwana, nokia 9300i original haijapata hiyo sms we simu yako aina gani chief?
 
CCM sikutaki kukusikia kuanzia Jk, Makamba, Mkuchika sijui nani mimi naona shida zote tunazopata ni nyie mmesababisha, so kindly pisheni watu makini waendeshe hii nchi, mmetunyonya vya kutosha CCm plse ondoka. SMS za propaganda ndizo zenu hizo wananchi wamechoooooooka kabisaaaa
 
Ingekuwa vyema endapo kama ungeiweka hiyo namba iliyotuma SMS ili utafiti ufanyike kujua source yake, naamini kuna IT expert wengi tu humu JF.
 
Vyovyote iwavyo, watu sasa wanaelewa ukweli na uongo. wanajua tofauti za propaganda na habari za kweli. Maisha yalivyowapiga wanayaona kabisa.
 
Kwani kanda ya ziwa na umati wote ule, hawa CDM wanawasafirisha watu, kuwapa malazi na chakula? Hebu anayetunga hizi vumi atumie akili kudanganya watu. Au ndivyo hawa walioitunga wanavyofanyaga? DIGITAL ERA.......
 
Jamani mimi naona ni janja ya CCM kutunga mambo ya kuwatisha watanzania- kumbuka majambia ya IGP Mahita. CCM na mafisadi kiama chenu kimewadia. hamuoni yanayotokea duniani mkajifunza siku za uongo zimeisha. Freedom is coming soon...
 
Nimetumiwa sms hii majira ya saa nne na nusu hivi.

MPANGO WAFICHUKA!!! CHADEMA.
Wametenga Billionin 20 za chakula, malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza, Musoma, Mbeya, Moshi na Arusha, kupelekwa jijini Dar Es Salaam kwaajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK.

Ngd zangu wana jamvi hii ndio sms niliyoipata na ina sadikika imesambaa sana sehemu nyingi, naomba tushirikiane kujua kama kuna ukweli wowote au ndio Jk na viwavi jeshi wenzake wa ccm wamenaza kuogopa maandamano makubwa ya CDM kuja dar??

my take JK na ccm hawawezi kuzuia nguvu ya uma kwa propoganda na usanii bila kutatua matatizo yao
 
nianaamini watanzania hawataamini hizi mbwebwe za ccm kwa kuataka kupoza nguvu ya uma. watazidi kuwaubga mkono chadema mara zaidi na zaidi
 
weka number to track source plz, au ni private number??????????????
 
Sms hii inasambaa kwa kasi sana sijui ww imekufikia?

Quote MPANGO WAFICHUKA!!! CHADEMA wametenga bilioni 20 za chakula,malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza,Musoma,Mbeya,Moshi na Arusha kupelekwa jijini Dar kwa ajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK. End quote
nikiipata nitareply kwa tusi na kuongeza kuwa mpango mzima ndo hivyo-kama Jeyk alivyofanya mpango na kufanikisha kuwabeba polis toka tanga,moshi na kuwapeleka arusha kufanikisha mambo yake
 
Sms hii inasambaa kwa kasi sana sijui ww imekufikia?

Quote MPANGO WAFICHUKA!!! CHADEMA wametenga bilioni 20 za chakula,malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza,Musoma,Mbeya,Moshi na Arusha kupelekwa jijini Dar kwa ajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK. End quote

Duu hi Kali!!Hizo Bilioni 20 CHADEMA inazitoa wapi kwaajili ya kuwalipa watu?kwenye kampeni jasho lilitutoka kapata hela za kampeni leo tuchezee hela zote hizo.Ama aliyetunga ana upeo mdogo wa kufikiri.Kampeni zetu za uchaguzi Mkuu hazijafikia kiwango hicho cha pesa.Tulipanga Kukusanya na kutumia bilioni 5 tu kama Kamati Kuu ilivyopitisha.

Hata hivyo CHADEMA haijawahi kutoa chochote kwaajili ya watu kuunga harakati za chama iwe maandamano au kampeni.Watu wanakuja wenyewe tu kwa gharama zao na mapenzi yao. Waliompa mtu aliyetunga ujumbe huu inabidi wamtoe kwenye kitengo hiki cha propaganda kwani hafai kabisa.Huwezi ukatunga uongo wa wazi kiasi hiki kila mtu aliyefikia umri wa kupiga kura hawezi kukubali uongo huu.Propaganda zikipitiliza zinakuwa kiburudisho na kichekesho. Tungekuwa na pesa hizo situngejenga liofisi letu la nguvu na kuimarisha ofisi za mikoani na wilayani haraka iwezekanavyo.
Poor Them!!!!!
 
Nimetumiwa sms hii majira ya saa nne na nusu hivi.

MPANGO WAFICHUKA!!! CHADEMA.
Wametenga Billionin 20 za chakula, malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza, Musoma, Mbeya, Moshi na Arusha, kupelekwa jijini Dar Es Salaam kwaajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK.

Ngd zangu wana jamvi hii ndio sms niliyoipata na ina sadikika imesambaa sana sehemu nyingi, naomba tushirikiane kujua kama kuna ukweli wowote au ndio Jk na viwavi jeshi wenzake wa ccm wamenaza kuogopa maandamano makubwa ya CDM kuja dar??

my take JK na ccm hawawezi kuzuia nguvu ya uma kwa propoganda na usanii bila kutatua matatizo yao

Tunaomba namba ya simu iliyoleta sms hiyo kwako, tuifanyie kazi haraka
 
Back
Top Bottom