jamani Babu DC hajambo?

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,063
Babu babu
babuuuuuu
Babu babuuuuuu
Babu huyo babuuu....
Jamani babu yenu DC hajambo? Mbona kimya?
 
huyu babu DC atakuwa kajitoa photocopy
maana mie kushoto kuna babu dc, kulia babu ODM, mbele babu byshernger afu ny..ma kuna kibabu rejao.

Sijui nidunfungue kambi ya kulea wazee?
 
babu unajua hutu tuju kuu twako kina konnie na BW tuafanya utani? Mbona kimya?uko ok?
 
huyu babu DC atakuwa kajitoa photocopy
maana mie kushoto kuna babu dc, kulia babu ODM, mbele babu byshernger afu ny..ma kuna kibabu rejao.

Sijui nidunfungue kambi ya kulea wazee?
mzima wewe? nimemiss sana kunyonya ma dia...
 
Naona watu mmegaiana wababu humu ndan,ngoja nikajipange lzm nimpokonye kongosho mmoja,hawez kujilimbikizia mababu kiac hicho,ni ufisadi kbs ebo!
 
Babu babu
babuuuuuu
Babu babuuuuuu
Babu huyo babuuu....
Jamani babu yenu DC hajambo? Mbona kimya?
Msimu wa kilimo umekaribia, Yupo anaandaa mashamba yake ya tumbaku, mie nampokelea madeni yake, vipi unataka kumlipa ile hela ulikopa mwaka jana?
 
Msimu wa kilimo umekaribia, Yupo anaandaa mashamba yake ya tumbaku, mie nampokelea madeni yake, vipi unataka kumlipa ile hela ulikopa mwaka jana?
Nitonye hajambo?
Ngoja tusubiri babu yenu aishiwe stock ya ugoro then atashuka mjini tutamuona.
 
Back
Top Bottom