jamani Babu DC hajambo?

Naona watu mmegaiana wababu humu ndan,ngoja nikajipange lzm nimpokonye kongosho mmoja,hawez kujilimbikizia mababu kiac hicho,ni ufisadi kbs ebo!
Niko hapa, babu mwepesi kunyang'anyika.... Ukuye uninyang'anye kabla hujawahiwa!
 
Cantalisia, ulikuwa hujapata babu cku zote hizo! mi nnae babu mchunguzi baba yako.
Sijapata mwenzio sijui hawa wazee hawanion!!!
Hongera zako bana pale umefika ila uwe na moyo wa chuma maana stori na matukio yake ni ya kufukuzia utukufu daile lol!!!
 
Sijapata mwenzio sijui hawa wazee hawanion!!!
Hongera zako bana pale umefika ila uwe na moyo wa chuma maana stori na matukio yake ni ya kufukuzia utukufu daile lol!!!

Wa chuma ukikutana na moto si utayeyuka? wangu wa upepo jangwani niko, baharini, na nchi kavu kwa majira yote.
 
Wifi wewe tena? Hata usingesema lazima ningekutumia! Kakako mzima wa afya, anauliza vipi ile ratiba yako ya kututembelea this week end???

siku hizi toka amewowa ukimwomba vocha hakupi sembuse nauli nitakuwa nadip kwa mawasiliano
 
Back
Top Bottom