Jamani avatar ya cheusimangala!!!

We umetamani avatar na sio mtu....sasa kwanini upewe mtu?!

Jamani liz Asha d mwenyewe anakubali kuwa Cheusi mwenyewe akawa anaendana na avatar yake, so mi naamini nishakuwa priton ndani ya pipa mbele ya cheu.
 
Kiukwel mi sijaoa, na nikicheki hii avatar napigwa butwaa, mwili mzima ni kama umekufa ganzi,
kacheki utakachokiona niletee.

pole kwa ganzi zinazokupata,
kuna siku niliiondoa hii avatar kuepuka mambo kama haya ila watu wakaandamana ikabidi niirudishe.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya vijana kazi tunayo,hiyo picha tu mwana,usichanganyikiwe!
 
Haya vijana kazi tunayo,hiyo picha tu mwana,usichanganyikiwe!
 
pole kwa ganzi zinazokupata,
kuna siku niliiondoa hii avatar kuepuka mambo kama haya ila watu wakaandamana ikabidi niirudishe.

Cheusi mwenyewe! Hata siamin, heb nambie mwenyewe ndo ulivo? Mana sikufich avatar yako imebeba kila nnachotaka.
 
Back
Top Bottom