Jamani asali asali asali eehhh!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Wanaume nawashauri kujenga tabia ya kutumia asali kila siku aidha kwenye chai au hata kuinywa muda wowote unapojisikia. Inaimarisha uwezo wa tendo la ndoa. Mimi nimekuwa nikitumia asali kwa takribani miezi 6 sasa na kitu nilichogundua kuwa stamina yangu ya kumega tunda imeongezeka maradufu. Kiukweli niliamua tu kuachana na sukari ya viwandani lakini hiyo ndio hali halisi. Hata akina dada si vibaya mkiwashauri wenza wenu kutumia asali ina faida nyingi mojawapo ndio hiyo mtarimbo unasimama hat saa nzima. Nadhani wale watumiaji wa viagra huu utakuwa msaada kwao.
 
Mdau nakushukuru kwa upande mmoja umewasaidia wenye deficity (mapungufu) ya nguvu. Aidha umetusahau akina sie wengine tunahangaika kutafuta dawa how to dicreese the power! Nishahangaika sana walau niwe napiga bao mbili au 3 per day sijafanikiwa na mjeledi ukini'stand hua uko active si chini ya 45 min.
 
Mdau nakushukuru kwa upande mmoja umewasaidia wenye deficity (mapungufu) ya nguvu. Aidha umetusahau akina sie wengine tunahangaika kutafuta dawa how to dicreese the power! Nishahangaika sana walau niwe napiga bao mbili au 3 per day sijafanikiwa na mjeledi ukini'stand hua uko active si chini ya 45 min.

INa maana kwenye chai huweki sukari kabisa? Na hiyo ni asali ya kawaidi au ni ipi? Maana sokoni ziko nyingi, madukani pia ziko nyingi sana, sijui ipi ni ipi
 
Tatizo watu wengi mkianza kula raha basi mnasahau kila kitu kwa ujumla nakubaliana na asali ni nzuri sana na inasaidia sana but hata hivyo mapenzi yahitaji moyo jamani maana sio tu ukishamwingilia mwanamke ndio basi uta take long au utakuwa na power za asali no bali itakusaidia na kukupa nguvu ya ziada endapo utajicontrol usiwahi kufika mapema,kama vipi unaona unataka kuwahi unaweza kumchomoa mzee then unazama down kwa dakika 2 pitisha ulimi sana then unarudi unaendelea na game unaweza kwenda hata one hour bila kipingamiza sema wengi wakishaona wanataka kufika ile raha wanashindwa kuji control so kwa ujumla asali inasaidia ila yenyewe inataka uisaidie na sio kuitegemea tu yenyewe kwamba itakusaidia....
 
Nihangaike na asali bei aghali wakati kuna kitu ubombo toka tanga, nikishushia na pweza wangu
Hasira zake hadi naigandisha kwenye friji ipoe
 
Acaha na mimi nichomeke hapa hapa, kwa wale wanaohitaji asali original yenye viwango vyote vya ubora wawasiliane na mimi...
 
Acheni kudanganya watu,mambo ya sex yanategemea na strength ya pc muscles,kama zipo weak hata unywe pipa zima la asali mtalimbo utakua doro tu....
 
Wazee angalia sana asali nyingi imechakachuliwa jitahidi kuagiza hapa Sumbawanga kanisani katoliki kuna sister mmoja naletewa asali alisi kabisaaa ila kwani kufanya mapenzi kwa muda mrefu ndio raha au kutosherezana wote wa2
 
Hata kama uko doro utajitutumua kwa tu dakika
Angalau uweke heshima bar
Nani anataka aibu
Acheni kudanganya watu,mambo ya sex yanategemea na strength ya pc muscles,kama zipo weak hata unywe pipa zima la asali mtalimbo utakua doro tu....
 
Vilevle ukisoma kwenye kitabu"Turejee Edeni" wameshauli ni muhimu kwa afya kupata kijiko cha asali mbichi baada ya kuamka na kabla ya kulala.
 
Back
Top Bottom