Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
- Thread starter
- #61
.......nami nataka jamani.......
sema unataka ipi we jisefie tu ila ukifanyikiwa ndo unalipa
.......nami nataka jamani.......
Dawa gani hiyo tena?
Napita tu...
Nataka kazi ya kuzifanyia majaribio mkuu wakati ndio sasa.
ha,ha,ha,......inatakiwa unafanya majaribio kwa mtu kama Bishanga ili akae kwenye chupa weee na kupika tu,alafu unamfaya house boy
Unauza au unatoa bure...