jamani anayesumbuliwa na mwenza wake ninauza dawa hii hapa

Wakati nakufukuzia tayari nilikua nimesha mpatia dawa C6 ,hivyo nilikua nafanya jaribio kama kweli utamuacha C6 na kuja kwangu?ulipokua ngagali nikajua dawa inafanya kazi,ndipo nikaamuua kuingiza sokoni

haya bana kila la heri, ukimpata wako usisahau kumwekea eeh!
 
Last edited by a moderator:
Kweli mganga hajigangi, ulishindwaje kuzitumia kwa charminglady akawa anakupa za uso afu kaja dogo C6 kajibebea mtoto kiulaiini kama analia vile



Tatizo la waganga ni kujisahau, wao wanafikiri matatizo yanawapata watu wengine ila si wao. Na ndiyo maana C6 kajizolea kiulaiiiiiini.
 
Last edited by a moderator:
hahahaa, umeona eeh. lakini wns bado hajakubaliana na hali halisi. . . n-way endelea kusubiri ama jaribu tena badae wns!!!!

jamani cl,nakufananisha na ule msemo usemao kwamba,''ukinipiga utakua umenionea,ukiniacha umeniogopa''...ndio wewe sasa sijui nikupige ama nikuache?..maaana nilikupenda ukaona karaha nimekuacha unaniponda kuwa nilichemka
 
Embu nifowadie moja niifanyie majaribio...kuna jimama moja nataka nilichune.

images
hii itakufaa
 
Dah, hongera basi kwa uwekezaji wako huo kwani hapa lazima utatajirika tu bila wasi maana ngono hapa kwetu ni kama chakula. Nitajiungaje kwenye huu uwekezaji, tafadhali saidia!

simple tu wewe ntakupa kitengo cha marketing,vip utawza tukiuza mzigo tunagawana faida upo hapo
 
Ee bwana wacha hizo. Mbona Young Master kasema hii uliyompa inamfanya apige nyeto zaidi....kuna ukweli hapa? Au hizi ni dawa za kichina zinafanya yale yasiokusudiwa? Ee bwana tafadhali usije kutugeuza kuwa na mabusha ya tembo hapa, oooooooooohooo?

akikosea mashart atajikuta anajipenda kila siku badala ya yeye kupendwa,we mwache ajichanganye aone cha mtema kuni
 
Back
Top Bottom