Jamani ame Malima Bata.

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
HUYU NDIO BATA ALIYEINGILIWA NA BINADAMU MPAKA AKAFA

Kama ulisikiliza hekaheka za juzi katika leo tena!!

Hii imetokea hapahapa Dar es salaam njemba imekutwa ikimuingilia bata mzinga mpaka akafa.Alimtoa bata kwenye banda na kuingia nae chumbani kwake na kumfanya hicho alichomfanya

Hapa hali ilikuwa imeshatulia shwari mida ya saa saba ila asubuhi mitaa hii ilikuwa imefunga watu wamejaa kushangaa tukio hilo.

Bata huyo ni wa famili yake na jamaa aliweza kupiga bao zake tatu duuuuh.Alipokutwa hakukataa alielezea kila kitu kuwa

alikuwa kazidiwa.Wananchi walimbeba mzobemzobe na kumpeleka kituo cha polisi sasa hapo siji mshitaki atakuwa nani??!!

Wananchi hawamtaki mtaani kwao asije akawabakia watoto buree.

Ndio hivyo watu husema dunia ina mambo lakini si kweli binadamu ndio wana mambo!!

picha kwa hisani ya Gea Habib!na Dina marios blogspot
 
akapimwe akili huyo
ila uswahilini kuna mambo, walijuaje kama alikuwa na kiburudisho bata? Walikuwa wanamchungulia nini?
 
akapimwe akili huyo
ila uswahilini kuna mambo, walijuaje kama alikuwa na kiburudisho bata? Walikuwa wanamchungulia nini?

Was just thinking on the same line. ukizingatia Bata halina kelele kubwa. hata kama lingekua linapiga kelele wangujuaje labda alikua analichinja.

May be kweli ilikua Chabo
 
Was just thinking on the same line. ukizingatia Bata halina kelele kubwa. hata kama lingekua linapiga kelele wangujuaje labda alikua analichinja.

May be kweli ilikua Chabo

usifanye masihara na uswahilini kwetu huku, ukila maharage kila siku hata uyaunge na kitunguu swaumu wanajua jamaa ndondo daiky, kwa hiyo usikute movement nzima watu waliiona, wakawa wanashangaa huyo bata anachinjwa ndani? Mbona manyoya hayatupwi?
 
@ wife umewasilisha vema!...izo hazikua GENYE ni mganga kaagiza.!
Sasa BAGAH , ikawaje mtu wangu hata usinitonye kama mambo yalikunyookea kwa Vivy?
Umesahau debe nililokugongea hadi mishipa ya neck ikanisimama? Au unataka upokwe some marks ?
 
Last edited by a moderator:
Sasa BAGAH , ikawaje mtu wangu hata usinitonye kama mambo yalikunyookea kwa Vivy?
Umesahau debe nililokugongea hadi mishipa ya neck ikanisimama? Au unataka upokwe some marks ?

Judgement braza kwanza pole kwakua mpweke baada ya kupotelewa na mpenzio...hope uko mawindoni,na nnavyokujua utakamata fasta...
nakumbuka sana juhudi zako bra...vip leo kama vip tukutane pale play-time?nikutonye jambo!
 
Last edited by a moderator:
Yaani nyie siku mbili tu za JF-OFFLINE zimewachanganya hata kusalimiana imekuwa shida? haya wewe BAGAH, Nicas Mtei, na BADILI TABIA! Habari za kula ya lazima? na we mamaa vivian umemmisije BAGAH? but all in all [COLOR=8000080]HUYO JAMAA ANASTAHIKI BAN KUBWA YA MVUA NYINGI SANA SEGEREA! AMETHUBUTU KUNAJISI KITOWEO CHA SIKUKUU!? NIPENI UHAKIMU WA MUDA JAMANI NIMSHUGHULIKIE, KHAA?? [/COLOR]
 
Last edited by a moderator:
SALOK,mie mzima,naruka ruka kufurahia jeiefu kurudi hewani. Nimejitolea kuwa mpishi wa Invisible na team yake kwa wiki nzima
 
Last edited by a moderator:
Judgement braza kwanza pole kwakua mpweke baada ya kupotelewa na mpenzio...hope uko mawindoni,na nnavyokujua utakamata fasta...
nakumbuka sana juhudi zako bra...vip leo kama vip tukutane pale play-time?nikutonye jambo!

Ni wewe tu!
Ukiwa ready nambie
 
Last edited by a moderator:
Yaani nyie siku mbili tu za JF-OFFLINE zimewachanganya hata kusalimiana imekuwa shida? haya wewe BAGAH, Nicas Mtei, na BADILI TABIA! Habari za kula ya lazima? na we mamaa vivian umemmisije BAGAH? but all in all [COLOR=8000080]HUYO JAMAA ANASTAHIKI BAN KUBWA YA MVUA NYINGI SANA SEGEREA! AMETHUBUTU KUNAJISI KITOWEO CHA SIKUKUU!? NIPENI UHAKIMU WA MUDA JAMANI NIMSHUGHULIKIE, KHAA?? [/COLOR]

SALOK nina usongo na Jf...kumbe umekaa hapa nimepita wala sijakuona na huo weusi wako,tumia carolite bana....tatizo nilichanganyikiwa kumuona vivian
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom