Jamani ame Malima Bata.

Mbona mnamlaumu tu,

Wanawake wa sku izi wengi magogo sasa samtaimu bora bata analeta pulukushani na mzuka pia bata haliambukizi ukimwi wala halipigi mizinga ya vocha.

On ze adha side: Hilo bata limekufa kifo cha kishujaa sana, mabata wengi wanaishia kwenye pilau tu. RIP bata
 
hahahahahaha. Nimecheka kwa loud speaker. We klorokwini hujatulia hata nusu.
 
Last edited by a moderator:
Cantalisia shemeji yangu unajua kunichanganya...haya leo ndo umetokelezeaje ivo?...sijawahi kukuona umevaa pedo nikakusahau gafla...habari yako shem...miss u.

vivian hana ujanja maana flag inalipa...so kaifagilia...lol
Si ndio nashangaa iweje shem wangu BAGAH asinione pamoja na kuvaa kipyedo cha ukweli namna hii!,
BTW mie niko poa shem wangu,just missing u a lot tangu hii jf iwe likizo lol!

Na mie naona mambo yashakukalia vizuri mtoto vivian pembeni ni mwendo wa kutafuna kitumbua tu lol!
 
Last edited by a moderator:
hivi Cantalisia ukubwa wa mwiko hauhusiki katika mapishi na utam wa chakula eeeh?...hope bado niko ndani ya mada.
Shem wangu BAGAH ukubwa wa mwiko hauhusiki kbs na utamu wa chakula hapo upishi tu ndio mpango mzima,waweza tumia hata kijiko kukoroga viungo na mchuzi ukatoka super hahha hahhaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnamlaumu tu,

Wanawake wa sku izi wengi magogo sasa samtaimu bora bata analeta pulukushani na mzuka pia bata haliambukizi ukimwi wala halipigi mizinga ya vocha.

On ze adha side: Hilo bata limekufa kifo cha kishujaa sana, mabata wengi wanaishia kwenye pilau tu. RIP bata
Tobaaaaaaaaaaa!
Shikamoo loya klorokwini.
 
Last edited by a moderator:
Tobaaaaaaaaaaa!
Shikamoo loya klorokwini.
hiyo kuniamkia unataka kuninyima samsing nini?
hehehe acha nilog out bana, nina kidate na Lizzy leo, sasa ivi naenda kujipiga sop sop halaf mzembe natinga jinzi jipya hata ma lebo ya bei siyatoi ili ajue mzembe nimegaramika kias gani kwa haka ka date.
na wewe sku yoyote Rejao akikuacha niPM.
 
Hahaha hahah hahah,uwiiii mbavu zangu mie lol!
Fanya mpango ubandue tu japo hiyo lebo wasije wakakubandua njian huko lol!
Kila la heri,mpe hi sana lizzy,

BTW,Kwa sasa Rejao wangu hajapanga kuniacha kwan baada ya hiki cha mchana ameniomba kesho twende hane muni nyingine kwan anahisi tumeoana leo,
so ww jikipu bize na ulienaye coz plan ya kuachana haipo!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom