Jaman Nimefulia nauza apple laptop

Doyi

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,428
1,475
Wana jamvi nimeamua kuuza laptop yangu aina ya macbook apple version ya 10.5.8,processor yake ni 2Ghz na ram ni 2GB.Haina tatzo lolote ila naiuza kusolve personal issues.anahehtaj anipm au anitafte kwa Namba 0717465686 na 0717478451.Asanten
 
We doyi mbona unaaibu aibu asee?....weka bei hapa na picha za hiyo bidhaa watu wathaminishe!
 
hawez kuweka bei na mimi namsupport asiweke mana wa2 wa humu ndan ni kulalamika tu akiweka bei mara utasikia wengine wanasema bora wakapangishe vyumba kwa mwaka mzima
 
hawez kuweka bei na mimi namsupport asiweke mana wa2 wa humu ndan ni kulalamika tu akiweka bei mara utasikia wengine wanasema bora wakapangishe vyumba kwa mwaka mzima

Sasa tutanunuje bila kujua bei???
 
Angemwaga bei ndo tungeweza kukadiria quality ya kitu,kuna vitu vingi hajaviweka wazi wanu uzi huwakosi humu JF,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom