Jaman MKONO wangu.

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Madaktar naomba mnisaidie.jana nilijichoma na bisibisi katikati ya kiganja cha mkono wangu.mkono ulikufa gannzi kwa muda na baadae maumivu makali yakafuata.nilipata huduma ya kwanza na kuendelea na kazi.leo nimeamka kiganja kimekuwa cheusi kwa juu na mko nahisi kama mzito kidogo.jana damu haikutoka nying.je ni dawa gani naweza kutumia kama antbiotics?
 
Ndugu yangu huo weusi ukoje?ni bora uende hospital wakauone coz inaweza ikawa damu imejikusanya chini ya ngozi(haematoma) au ikawa infection(gangrene) ukipuuzia waweza katwa mkono.ila kama ni damu tu imejikusanya nenda kachomwe sindano ya tetanus na interms of antibiotics cloxacillin itasaidia
 
Huo weusi siyo dalili nzuri....inaonesha hakuna mzunguko wa damu eneo hilo,na hivo tishu za eneo hilo zinakufa......nenda hospitali haraka kwa sababu una hatari ya kupoteza kiganja
 
ulezi hauishi jamani hata toto liwe kubwa!

Nenda hospitali haraka sana. This is an order its not a request.

Great thinker, kidonda kama kinahitaji huduma ya kwanza tu kama mchubuko ndo huendi hospitali. ila kama utahitaji na antibiotics kuna haja ya kuonana na dk aone uzito. zingatia pia na sindano za tetanus,manake sio kwa misumari pekee. Pole mwaya
 
Madaktar naomba mnisaidie.jana nilijichoma na bisibisi katikati ya kiganja cha mkono wangu.mkono ulikufa gannzi kwa muda na baadae maumivu makali yakafuata.nilipata huduma ya kwanza na kuendelea na kazi.leo nimeamka kiganja kimekuwa cheusi kwa juu na mko nahisi kama mzito kidogo.jana damu haikutoka nying.je ni dawa gani naweza kutumia kama antbiotics?

mmh jamani hebu tuwe serious.. yaani hadi mambo ya ajali mnataka tiba humu... khe hebu kimbia hospital haraka.... this is too much... we ujichome na kitu chenye ncha kali usubiri JF wakuambie cha kufanya.. utakuja kuoza mkono huo...

NB: kuna siku mtakuja kutuuliza jinsi ya kufanya postmortem ya ndugu yako eliyekufia ndani kwako na nataka ujue chanzo......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom