Pamoja na uduni wake(IFM) katika suala la management, kuna suala moja linanikera zaidi! Na hili ni kuhusu ma-lecturer wa hapa IFM,yaan wamekuwa mabingwa wa ngono! Wanawarubuni dada zetu kwa madai ya kuwasaidia kielimu au saa nyingine kwa vitisho vya kuwafelisha! Na mtu anayeongoza kwa madhambi haya ni mkuu wa idara ya Social Protection! Kwa kweli jaman dada zetu wanateseka na hii tabia mbovu na chafu!