Wabunge wetu wamegutuka kufirisika kwa tanganyika ya leo, wakaona wale chao mapema. Wamegundua katiba mpya itawamwaga wengi (2015). Tukta mnapiga kelele wakati na nyie serikali imewapa ofisi?. We ulisha sikia majaji, wanajeshi na mahakimu wakilia lia? Bora mteja akamuliwe damu ili mkono utembee... Wa MP wameonesha jinsi gani vibarua wa serikali wafanye. Chukuwa chako mapema.... Akili ya mbayuwayu... Ohoo!