Jamaa wameshutka mapemaaaaa, shauri yenu Tukta

gervase

Member
Jan 23, 2011
41
5
Wabunge wetu wamegutuka kufirisika kwa tanganyika ya leo, wakaona wale chao mapema. Wamegundua katiba mpya itawamwaga wengi (2015). Tukta mnapiga kelele wakati na nyie serikali imewapa ofisi?. We ulisha sikia majaji, wanajeshi na mahakimu wakilia lia? Bora mteja akamuliwe damu ili mkono utembee... Wa MP wameonesha jinsi gani vibarua wa serikali wafanye. Chukuwa chako mapema.... Akili ya mbayuwayu... Ohoo!
 
Wapi Pappaa Mgaya
Wapi Pappaa Gratian Mukoba
posho zinapanda kwa 154%
hatuhitaji kura za civil servants 300,000.
tunazo kibao za mambwiga na zetu za kuchakachua
walimu,madaktari,manesi,wahadhiri,makuli,polisi ZII
 
EAC pension hamna toka 77
tazara and trc pia wasubiri tushinde 2015 tulipe madeni ya kofia,vilemba na tshirt kwanza
 
Uchaguzi ukikaribia tunagawa wali,kanga, skafu, tshirt na kofia. Tunasupply pombe kali za pakti kwa bei chee vijana wanywe kwa wingi wasau shida zao mpaka waunguze figo na maini ili wakose nguvu ya kupaza sauti wakati wa kudai haki zao.
Tunatoa ahadi ya kununua kivuko katika mji usio na hata mto mmoja, Siku ya kupiga kura tunachenchi mamilioni kwa noti za buku mbilimbili kwa ajili ya bahasha za kaki kwa kila raia mwenye kudai haki yake ili TZ izidi kubaki kwa wenyewe.
 
Wapi Pappaa Mgaya
Wapi Pappaa Gratian Mukoba
posho zinapanda kwa 154%
hatuhitaji kura za civil servants 300,000.
tunazo kibao za mambwiga na zetu za kuchakachua
walimu,madaktari,manesi,wahadhiri,makuli,polisi ZII
he!he!he.......uuuuuuuwiiiii
mama nibebe nikamuone mwenye kichwa cha nazi
 
Wabunge wetu wamegutuka kufirisika kwa tanganyika ya leo, wakaona wale chao mapema. Wamegundua katiba mpya itawamwaga wengi (2015). Tukta mnapiga kelele wakati na nyie serikali imewapa ofisi?. We ulisha sikia majaji, wanajeshi na mahakimu wakilia lia? Bora mteja akamuliwe damu ili mkono utembee... Wa MP wameonesha jinsi gani vibarua wa serikali wafanye. Chukuwa chako mapema.... Akili ya mbayuwayu... Ohoo!

kufirisika = kufilisika
 
Ni kweli wameona mbali maana sasa hivi hii serikali ni dhurumati mwezi uliopita katika mshahara wangu nilikosa 40'000 na mwezi huu 60'000 sasa sijui wanarudisha hela walizotumia igunga.Mmmmm Tukta fanyeni fanyeni basi nasi tuwe kama Wabunge!
 
Back
Top Bottom