Jamaa anasema kafunga....!

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Kuna rafiki huku job anasema kafunga ila anaenda sana msalani,kiasi tunahisi kama anapata misosi pembeni kwa kificho!madaktari kuna uwezekano ukiwa umefunga mfumo wa uzalishaji taka ukatulia au unaendelea kama kawaida!
 
Kuna rafiki huku job anasema kafunga ila anaenda sana msalani,kiasi tunahisi kama anapata misosi pembeni kwa kificho!madaktari kuna uwezekano ukiwa umefunga mfumo wa uzalishaji taka ukatulia au unaendelea kama kawaida!
Una uhakika hana matatizo ya kuhara? Kufunga hakuwezi kuzuia mtu kuhara kama tumbo limechafuka.
 
nimecheka mpaka basi,,,,,,,,&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
hiyo ofisi yenu kwa umbea si mchezo lol
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
sio umbeya kaka ni mtizamo, hata ww utajiuliza funga ya huyu boss wetu imekaaje.
 
ha haaaa haaaaaaaa............jaman mtu akifunga ndo asiende hata msalani khaaaa sipatii picha akiingia msalallni jinsi mnavojunguisha
 
Embu muacheni mwenzenu jamani, anafuturu na daku pia anakula so mmeng'enyo wa chakula ni kama kawa. Lakini vilevile tumbo likikuchachia babaangu.......haijalishi umefunga ama la! Ni mwendo mdundo tu!! Ila na nyie wambea.......kwahiyo boss wenu akiingia msalani basi mnakonyezana looh!!!
 
miofisi ya bongo umbeya tu, hata kazi hayafanyi kuchunguza wenzao tu. Fuata lako
 
sl, kumbe ww ni mfanya usafi toilet? sasa hapo mlangoni kila mkiingia mna-saini ama mnajuaje idadi ya safari? kazi kweli kweli!
 
ukifunga kwenda msalani maximum ni mara mbili, labda uwe unaharisha, na ukiharisha sidhani kama inawezekana kufunga.
labda anaumwa
 
Back
Top Bottom