Jakaya Kikwete na msafara mkubwa

bro nmeongelea kikwete akiwa kwenye safari nje ya mkoa anaokaa.

na hata hapo kawe unaposema unaonaga akiwa kwenye gari tatu tu huenda ikawa ni macho yako lakini kiuhalisia katika kila mataa au makutano huwa kuna gari iko hapo mda mrefu kabla ya yeye kupita
Kutoka Sea View Hotel pale Lindi hadi pale kwake Mtanda Lindi! Unaweza kutembea hata kwa mguu tu! Sasa huo msafara na msururu wa magari ya nini??
 
ndo mnavyodanganywa hivyo mtaani?

hivi unajua kuwa rais aliyopo madarakani au msataafu akipata tatizo lolote awapo safarini nje ya mkoa anaoishi lazima RPC wa mkoa husika awe responsible?
na je RPC huyo anatakiwa kuwa na gari ngapi za ku escort msafara wa raisi?


na je RPC anaweza kuusindikiza na kuusubiria msafara wa rais alafu RTO awe kalala tu na mkewe nyumbani?

Hopital ya mkoa watajibu nini endapo raisi atapata ugonjwa wa ghafla na kukosa huduma kwa kutokutoa ambulance?

nmekufungua macho kidogo tu but ukiona anatumia gari 10 jua hana mambo mengi la sivyo kwa uchache ni gari 15+ zinahitajika kuwepo kwenye msafara
Kwa upumbavu huu ,nchi hii ina safari ndefu ya kujikomboa maana naona middle class karibu wengi wameoza kichwani, President Mandela baada ya kustaafu msafara wake haukuzidi 3 cars (including police sweep car)na hata wakati wanampeleka hospital, Ambulance yake ilipata breakdown na ilichukua muda msaada kumfikia,President H&H misafara yake haizidi 4 cars!,President CR misafara yake haizidi 4 cars, President wa Botswana msafara wake 3 cars!!,Tanzania tumekosea wapi?
 
Back
Top Bottom