Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jakaya foundation

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Howard Amani, Dec 11, 2013.

 1. H

  Howard Amani Member

  #1
  Dec 11, 2013
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba kuulza kama kuna mwenye ufahamu na asasi inaitwa jakaya foundation..namba zao ni 0718104998..ina deal na mikopo
  mbalimbaliii..plz help me..Nsije nkaingizwa mjini.
   
 2. e

  edward snowdern JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2013
  Joined: Nov 30, 2013
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usicheze na hao wezi wa mtaani. nakuibia siri hao ni matapeli.soma jina langu
   
 3. o

  oyaoya JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2013
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni matapeli, wanaibia watu kwa hilo jina. Baadhi washatiwa mikononi mwa polisi na wengine bado wanaendelea kusakwa. kwa hiyo mkuu wewe utakuwa msaada wa kutosha kusaidia kupatikana hao wengine kwa kuwaripoti kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe.
   
 4. H

  Howt Lady JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2013
  Joined: Jul 15, 2013
  Messages: 1,495
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Nadhani ushapata maelezo ya kutosha
   
 5. i

  ilisha juniour JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2013
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 634
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halufu ya utapeli inanukia hapa
   
 6. H

  Howard Amani Member

  #6
  Dec 11, 2013
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana wakuu, naona hapa nimeshaingizwa mjini. Yaan wako dodoma sasa. Na wengine wawe makini.
   
 7. H

  Howard Amani Member

  #7
  Dec 11, 2013
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Washawaliza watu huku. Ni hatar sana hawa matapeli
   
 8. M

  MWANAKA JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2013
  Joined: Oct 4, 2013
  Messages: 1,933
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 48
  weka mbali na watoto HATARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...!
   
 9. H

  Howard Amani Member

  #9
  Dec 11, 2013
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh ! Tz ishakua Nigeria sasa
   
 10. H

  Howard Amani Member

  #10
  Dec 11, 2013
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo line wamesajili majina ya uongo. Yaan n shida mkuu
   
 11. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2014
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 2,165
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 63
  Wadau nimekutana na hii kitu naomba mwenye kujua ukweli kuhusu hii kitu anijuze kabla sijaingia mkenge.Ingia hapa Wapka.mobi
   
 12. marxlups

  marxlups JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2014
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 83

  Mwenye jina hana hata habari
   

Share This Page