Jaji Warioba kufukuzwa kwenye nyumba anayoishi mwishoni mwa wiki hii

No one is above the law, kama flan kavunjiwa basi hata flani avunjiwe sio wa Jangwan na msimbazi wavunjiwe af wa masaki wasivujiwe. kama kweli amevamia hakuna namna ya kumtetea kwani walio acha bila makazi wenyewe hawana damu. Haki Sawaaaa
 
Wakuu habari za Leo,

Inatia huruma, sijui tumsaidie vipi huyu mzee wetu wakuu, hebu tujadiliane namna ya kumsaidia

Chanzo: RAIA mwema

Irrespective of how good or valid contributions that you might have brought to JF, nimesikitishwa sana kujiibandika jina la MKWEPA KODI. hivi hiyo ni sifa njema au ni arogance au ni kitu gani? You might be honest kulingana na jina lako, kwamba wewe ni mkwepa kodi na huoni haya kujitambulisha kwa mtu yeyote. With due respect kama humu ndani kuna wanausalama na TRA, hakika wapaswa kulipa kodi na faini zake pamoja na riba ya pesa ulizokwepa.

Niwie radhi maana kwakweli sijakwazwa na jina lako...bali ni muhimu members wote kuwa sensible and responsible, tusiwe wavivu kufikiri au kuchukua hatua.
 
Hahahahahaaa mkuu hilo ni jina tu, kama vile ibilisi, fisadi, jambazi, nyosso, roho mbaya, kiwavi, pombe magufuli na wengine, hahahahaa, isitoshe mimi ni mlipa kodi mzuri sana hahahahahaaaa mkuu umenivunja mbavu hahahahahaa
 
..Warioba na mawakili wenzake wanapinga ongezeko la kodi ya pango ktk nyumba waliyopangishwa na wakala wa majengo ya serikali.

..wakala wa majengo ya serikali amepandisha kodi ya pango toka shilingi laki 9 kwa mwezi mpaka milioni 3.9 kwa mwezi.

..nyumba inayolalamikiwa iko ktk eneo la OYSTERBAY jijini D'Salaam.
 
Kwa nini watumishi wa Serikali wanalipiwa nyumba? Nyumba hizo lazima walipe pango la nyumba kama watu wengine huu ni Ubwanyenye
 
Aende akatafute ofisi vingunguti mbona nyumba ni nyingi tu, yeye si ni mzalendo bwana, please makonda help him kutafuta.
 
ukistaafu unatoka kwenye nyumba za serikali unakila pension ukiwa kwako ndio utaratibu. yaani hadi sahivi alikuwa bado anakaa duu
 
Hawa wazee wamezoea vya bure, je Sitta nae hajahama mpaka sasa ile nyumba ya Spika? Ndugai kisha rudi toka India analitaka pango lake!
 
Back
Top Bottom