Jaji aagiza Masheikh wa Uamsho kurejeshwa mahakama za Zanzibar

Tatizo lenu shule Hata ukieleweshwa vip huwezi kwan Hata angetajwa inasaidia nini,? Kikubwa amekamatwa ni mtuhumiwa aende mahakamani kujitetea akishindwa apate adhabu stahiki

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app

wewe mtaalamu , kwani kwa kufichwa jina la padri husaidia kitu gani ????

NAKUULIZA TENA, ANGALIKAMATWA MUISLAMU SHEIKH AKIWA NA BUNDUKI YA DARUBINI PAMOJA NA SUB MASHINE GUN NA MARISASI KAMA HUYO PADRI , JEE, ANGALIHIFADHIWA JINA NA KUTOKUITWA GAIDI ???
 
Gaidi wanafahamika ni dini gani bana....
 
Kwa wale wenye ufahamu au uelewa wa neno DINI ni nini tafsiri yake Iwe kwa lugha yoyote kwa kiswahili au kiingereza ...Kamusi zinaitafsiri nini neno DINI..
je tunaweza kuishi bila ya kuwa na DINI.....? je wale wanaosema hawana DINI au hawazihitaji DINI katika maisha yao ya kila siku wako sahihi....? kuna wanaochangia humu wakizikebehi na kuzikejeli DINI....
 
Waliwekwa na watanzania kupitia sanduku la kura

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app

sanduku la kura ; muulize LOWASA NA KITUO CHAKE CHA KUHESABIA KURA

Back
Top Bottom