jahazi la cloudz...leo!!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Punde kidogo nlikuwa nasikilizaJahazi... Kayanda anabishana na Kibonde kushusu udhaifu wa watz unasababishwa na kutojua kiingerea au lugha kubwa... Mwenzake anashikilia muhimu ni uwezo na si kujua lugha!!!
mY TaKE: kwa mujibu wa 'ligi yao'..Kayanda has bored me stiff...astahili kuendesha vipindi vya show tym na ma-toz wenzake!!!
 
Mkeshahoi, nimekisikiliza kipindi, huna haja kuwa bored, mjadala ulikuwa mzuri na umeshiba hoja.

Kwa kuanzia, nampongeza sana Kibonde, kusema ukweli amebadilika sana katika kipindi kifupi. Sasa anaonekana a really mature person na sio zile enzi za yale maroroso yake akiweka jokes karibu kwenye kila issue.

Mjadala ulihusu makampuni makubwa na haswa ya kigeni, kuwaajiri zaidi wageni kisa wana jua zaidi kuzungumza kiingereza ili hali wengine hata kazi hawawezi na wanafanyiwa na watz waliochini yao.

Hoja ya Kibonde ni uwezo wa kazi na sio lugha, akasema Watanzania wana uwezo mkubwa, tatizo ni kutojiamini tuu kwenye lugha ya Kiingereza, na akashikilia kwani Kiingereza lazima?.

Hoja ya Kayanda, waajiri wanataka watu wenye uwezo kuwasiliana kwa lugha ya kimataifa, Kiingereza, kwa vile WaTZ hawajiamini, amewakubali waKenya wanauwezo.

Kipindi hiki ni Kibonde ameshuka nondo mpaka akakasirika, amesisitiza jiamini una uwezo wa kufanya mambo, fanya mambo, jithaminishe thamani yako, jiaminishe value yako, panga bei ya huduma yako watalipia kwa thamani yako, akasisitiza tusijishushe.
 
Kibonde kabadilika!!! labda!
 
Ndivyo walivyo watangazaji wengi wa-kibongo. Unakuta eti anachambua masuala ambayo hayaelewi vizuri, mimi wananiboa sana.
 
Watanzania tunajiamini bwana mbona mie nimepata kazi kwa wakenya hao mnaosema wanajua kizungu na nimewashinda kwenye interview yao? Tuko juu bwana
 
ya kibonde ni maoni yake...je wewe unasemaje kuhusu hayo?
mi nadhani kajadili vizuri kwani pia amejaribu kugusa serikali kwa viongozi wetu kuwa na uwezo wa kuthubutu kuwakatalia wazungu kwa kila wanachotaka...kajaribu kusema kuhusu kutumia lugha yetu badala ya kuendelea kutumia lugha ya kigeni ambayo inaonekana hata wale tuliowapa dhamana ya kuingia mikataba hawaielewi vizuri hivyo kuingia mikataba mibovu....lingine ni kujenga uwezo wa ndanoi yaani soko la ndani km nchi ya china ilivyoitunishia misuli usa......kwani sisi population yetu ni kubwa kabisa ya kuweza kujenga soko letu
 
Kibonde kabadilika!!! labda!
Katavi, ni kweli kijana kabadilika, he is more machure person now than hapo nyuma. Naamini hii forum imesaidia kurekebisha mambo, ingawa aliiponda sana JF kwenye kipindi chake, ujumbe ulifika, he is a changed person, Ephraim Kibonde sasa ni jina tuu sio 'kibonde' tena.
 
Mkuu, nadhani ni ile Antivirus Mixtape ndio imemfanya abadilike....:smile-big:
 
Katavi, ni kweli kijana kabadilika, he is more machure person now than hapo nyuma. Naamini hii forum imesaidia kurekebisha mambo, ingawa aliiponda sana JF kwenye kipindi chake, ujumbe ulifika, he is a changed person, Ephraim Kibonde sasa ni jina tuu sio 'kibonde' tena.

Mkuu kweli na wewe ume-"machure" sana
 
im sorry Kibonde my young Brother najua hua unatembelea humu jamvini, naamini utasoma.
nilikua nakuamini sana kama mtu mwenye akili timamu, ila kuanzia Marchi heshima yangu kwako iko sifuri, ulijidai wewe kuwa ndio mtetezi mkuu wa serikali ya Kikwete, huku ukiwashambulia kila waliokua na mawazo tofauti, ukiwasema kwa maneno ya kejeli na matusi kwa kutumia jukwaa la clouds, wewe umegeuka mtu wa hovyo kabisa hapo clouds, umekua ukijiona kama sehemu ya wamiliki, umekua ukipiga kampeni za kupigiwa debe Kikwete hapo kila mara.
najua unaganga njaaa, najua unatafuta makate, ila jua heshima yako iko choooni.
 
Back
Top Bottom