Jaffarai, kauli na matendo vinapotofautiana...

Hahaaa jaffarai ni baloteli aka marioooooooo,hela ya kuweka gari mafuta hana,haya sasa ulibwabwaja facebook kwamba shyrose kicheche mzee haya yako wapi?? Don't curse a crocodile b4 cross the river!!
 
Njaa mbaya sana aisee! Dah! Mi nliona hizi picha kwenye blog ya Jaydee nikajiuliza maswali mengi sana. Anyway its their life.
 
Baada ya Shy kuukwaa ubunge wa EA kawa kijana na kaacha ukicheche na ndio maana Checkbob mfuto Jaffary kamurudia,jamani si mnajua kulala kwenye mahoteli ya nyota 5 katika ziara za majiji mbalimbali ya EA ndio imekuwa smaku iliyomvuta Checkbob mfuto kwa mwanamke mzee na kicheche .ngoja niangalie FB kama yale maneno baado yapo,kumbe kulia kote kule ilikuwa ni kilio cha sizitaki mbichi hizi,pia tunaomba Clouds Fm wrudie kutangaza mahojiano aliyofanya Jaffaray,na aombe msamaha kwa umma,na akubali kuwa sasa KALA MATAPISHI YAKE
 
Hizi ni picha mbili tofauti kabisa,,mtoa thread kadhihirisha kiwango cha juu sana cha majungu

mmbangifingi: inaelekea umezoea kufunga magoli ya penati sio ya kutafuta , thread (picha) ilizingatia utengano sambasamba (fanyia kazi )
 
Back
Top Bottom