Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Huu ndiyo ukweli wenyewe tena ulionyooka.Hawa watoto wanakuja kuteseka kwa ujuaji wa Mama yao.Kina Regina watamwachia yeyote wanaempenda.Ningekuwa mimi Jacky kwanza ningehakikisha hawa watoto wanalelewa na Dadana Kaka yao ili wajenge ile bond.Unahangaika na dada yako ambae tayari kimaisha alishafuria na yeye anataka kuponea kwa hizo mali zisizomhusu huku ukijua kabisa wewe una watoto tayari na hiyo familia.
Eeh,maybe watu wanafikiria kwamba hao kina Regina leo hii wakatwaliwa kwamba mali zitakua za gao madogo by defaulty very funny.. akina regina wana ndugu umamani na ubabani na wako nao bega kwa bega since day one akina Benjamine. Bado madogo hawatokua in a good position labda kizazi na kizazi. Halaf regina kutokuzaa who knows about her health status? Kwanini uumie yeye kutokuzaa? Kwamba kutokuzaa kwao yete na kakake kwamba ndo iwe sababu ya baba yao kuzaa wengine?

Eti kama warithi, hao siyo warithi kwani? je na hao madogo wasipokuja kuzalisha je? Si rahisi kihivyo jamani. Cha muhimu jacky atengeneze mazingira ya amani kwa hao nduguze watoto wake. Tusisahau kuna principals za uchaggani pia. Huyu shimimana malaya tu naye.

She had all possibilities to make it akazingua. Halafu jamani Amani alifariki the middle man between klyn na mengi family. Alikua kijana wa mengi kwa mambo mengi sana.
 
Ni hivi siku hizi inaruhusiwa kabisa hiyo nyumba ukiandika umiliki kwa majina yenu halisi inaeleweka.kuwa wamiliki ni Anna na James.Achana na mambo ya Mrs and Mrs James sijui unanielewa? Andika jina lako halisi na ubini wako wa asili na yeye hivyo hivyo na umiliki ujulikane ni 50% kwa kila mtu.Kwa swali lako ukiwa umeandika kama nilivyosema nyumba ikiuzwa kwa 100M kwanza wewe utapata 50M (ambayo itakuwa ya watoto wako) kisha 50M ya Baba ndiyo itagawanywa kwa watoto wote.Hili limemsaidia sana Aunt yangu na nimeshuhudia mwenyewe mpendaamanitanzania
Oh nashukuru sana. A very important post na watu waje wasome wajifunze kitu
 
Eeh,maybe watu wanafikiria kwamba hao kina Regina leo hii wakatwaliwa kwamba mali zitakua za gao madogo by defaulty very funny.. akina regina wana ndugu umamani na ubabani na wako nao bega kwa bega since day one akina Benjamine. Bado madogo hawatokua in a good position labda kizazi na kizazi. Halaf regina kutokuzaa who knows about her health status? Kwanini uumie yeye kutokuzaa? Kwamba kutokuzaa kwao yete na kakake kwamba ndo iwe sababu ya baba yao kuzaa wengine? Eti kama warithi, hao siyo warithi kwani? je na hao madogo wasipokuja kuzalisha je? Si rahisi kihivyo jamani. Cha muhimu jacky atengeneze mazingira ya amani kwa hao nduguze watoto wake. Tusisahau kuna principals za uchaggani pia. Huyu shimimana malaya tu naye. She had all possibilities to make it akazingua. Halafu jamani Amani alifariki the middle man between klyn na mengi family. Alikua kijana wa mengi kwa mambo mengi sana.
Huu uelewa hana huyo Jacky,yeye anajua kudanga tu,securing future ya watoto wake hata hajui.Huwa nawambia wenzangu,kwanza mimi wosia ningeukana kisha nikawakabidhi rasmi wadogo zao pale pale huku nalia machozi kuwa future ya hawa watoto inawategemea wao Kaka na Dada yao halafu natulia wala sisumbui mtu yoyote.Wanangu wangekuwa kwa mikono salama,lakini hizi drama alizozianzisha wala hazina msaada sana kwake.Elimu,Elimu,Elimu na hasa kwa watoto wa kike.
 
Akina regina watawaachia ndugu zao. Kwani wao si watakua na shares kubwa kuwazidi? Kuna zao 25% jumlisha za mama yao hapo halaf bado za baba yao. That means wakina regina wanakua majority shareholders. Wataamua wawaachie kina nani shares zao. Kwa huu uhasama unadhani hawa watoto watakua salama despite the fact kwamba ni wadogo zao? Hii vita jacky aliyoitengeneza atajutiaga mpaka kaburini. Kiuhalisia, ukishanipeleka mahakamani we shall never ever sit under one roof... ngumu mno. Huu uhasama ukijumlisha na mazingira mengi aliyofariki heeee heeee yewomiiii...
Hivi Regina kaolewa ?
 
Mimi naomba niulize swali kwa wataalamu najua mtanielewesha.

1. Hivi kama
Mke akifa kabla ya mume na mke ndo aliekua amejenga nyumba kwa tabu peke yake na watoto wake huku mume anahangaika na wanawake wa nje. Haki itambeba zaidi baba si ndio? Na what if mama alishirikiana na watoto kujenga na hati ina majina ya mama na watoto wake wote. Bado itatambulika kama matrimonial property as in Baba atakua na haki na hiyo nyumba kwa 100%?

2. Na kwa situation kama Baba amefariki hakukuwa na will ila nyumba ina majina ya watoto wa ndoa tu, je wale wa nje nao wataweza kuirithi?
 
Watamuachia Mtoto wa Marehemu Mutie yule wa kiume zote..maana Sasa hivi atakua mkubwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Shida unakuta wanasheria hapo ndipo wanalia pesa na mshauri wake Mkuu dada mtu na yeye anawaza kutapeli tu.Mwisho wa siku atagundua it's too late na wakati huo huo kesha waharibia hata watoto wake future zao.Imagine watoto wanakuwa na kisha wanaujua ukweli wote tena kwa facts za Mahakama?
Ile Will inasema kua Jack akishindwa kusimamia Mali apewe dada ake Shimimanasio watoto wa Mengi Wala nduguzeyaani wamejua kuua bendi asseehh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naomba niulize swali kwa wataalamu najua mtanielewesha.

1. Hivi kama
Mke akifa kabla ya mume na mke ndo aliekua amejenga nyumba kwa tabu peke yake na watoto wake huku mume anahangaika na wanawake wa nje. Haki itambeba zaidi baba si ndio? Na what if mama alishirikiana na watoto kujenga na hati ina majina ya mama na watoto wake wote. Bado itatambulika kama matrimonial property as in Baba atakua na haki na hiyo nyumba kwa 100%?

2. Na kwa situation kama Baba amefariki hakukuwa na will ila nyumba ina majina ya watoto wa ndoa tu, je wale wa nje nao wataweza kuirithi?
Ngoja niulizie nikupe majibu sahihi.Hii issue ni very sensitive lazima tusaidiane kupata majibu sahihi
 
Huu uelewa hana huyo Jacky,yeye anajua kudanga tu,securing future ya watoto wake hata hajui.Huwa nawambia wenzangu,kwanza mimi wosia ningeukana kisha nikawakabidhi rasmi wadogo zao pale pale huku nalia machozi kuwa future ya hawa watoto inawategemea wao Kaka na Dada yao halafu natulia wala sisumbui mtu yoyote.Wanangu wangekuwa kwa mikono salama,lakini hizi drama alizozianzisha wala hazina msaada sana kwake.Elimu,Elimu,Elimu na hasa kwa watoto wa kike.
Hahaha kitu cha kwanza nilichocheka ni wosia kuwa nao klyne. Hahaha dah. Toka lini jamani.
Pili, huyo wakili shuma nilimuuliza kama aliandaa alikataa akasema amesaini tu. That means jacky made it. Shwaini kabisa. Mawakili wa kigogo. Ila akina shuma nao wamachame labda aliona akienda kwa hao ataonekana ni ya kweli. Ila alifeli sana kwa hili
 
Ndugu zangu kina Mama dawa yao ni hii,kila.unachochuma nae andikeni umiliki kwa majina yenu halisi,yani Anastazia John na Jackson Mwakalinga.Hapo likitokea la kutokea kwanza ile share yako wewe inakuwepo kama kawaida ambayo ndiyo ya watoto wako.Ile ya kwake 50% iliyobaki ndiyo igawanywe kwa hao vifaranga wake wote na aliozaa huko nnje,mwisho wa siku watoto wako wanakuwa na ile 50% yako na watachanganya na kile walichopata kwa Baba yao,bado watakuwa juu.Hii ndiyo inawaokoa watoto wa Mengi wale wakubwa.Wana share ya mama yao 50% kabla ya yote
Watu ni wabishi sana, wakati mwingine Mme na mke wapo pamoja ndugu utakuta wana sarandia mali mpaka unashangaa badala mtu atafute zake anasubilia ndugu yake atangulie, kwasasa nikuandika majina yote mawili ili anayeingia hapo kati anakuta patupu.
 
Back
Top Bottom