Jacob Zuma(Afrika Kusini): Chama tawala(ANC) na upinzani hawana imani naye

Mwakamajoka

Senior Member
Nov 21, 2017
170
149
8d402f2339d5bb66be72a2cfb8221e58.jpg


Maelezo/Mazungumzo ya kina hayajawekwa wazi lakini viongozi wa Chama wanakutana kwenye kikao cha dhalura leo Jumatatu.

Mr. Zuma ambaye anakabiliwa na tuhuma za rushwa, nafasi yake ya kukiongoza Chama cha ANC ilichukuliwa na Cyrill Ramaphosa (12/2017).

Wachambuzi wanasema viongozi wa Chama wanataka kuepuka migogoro inayoweza kukigawa Chama kabla ya uchaguzi mwakani.

Wanategemea kuanza mchakato wa kumwondoa Raisi Zuma madarakani kwa utaratibu wa formal recall au kwa kuanzisha mjadala bungeni.

386a4007dbbce77cf8918094a2c4adea.jpg


Viongozi sita wa juu ndani ya Chama cha ANC wamefika mmoja baada ya mmoja Jumapili iliyopita kwenye makazi ya Raisi Zuma mjini Pretoria.

They remained light-lippe as the talks ended but have called a meeting of the party's national working committee for Monday.

Julius Malema, kiongozi wa upinzani na aliyekuwa mwanachama wa Chama ANC, amesema/ameandika kwenye mtandao wa kijamii(Twitter) kwamba Mr. Zuma amekataa/amegoma kuachia madaraka/kujiuzuru.

Kwa utaratibu wa kikatiba Mr. Zuma anaweza kuendelea kuwapo madarakani mpaka uchaguzi wa mwaka 2019. Lakini chama chake cha ANC kinaona umaarufu/heshima ya Chama inazidi kushuka kutokana na kudhohofika kwa Uchumi na tuhuma za Rushwa zinazomkabiri.

Raisi Zuma amehusishwa kwenye tuhuma nyingi za Rushwa kutokana na mahusiano yake na Mfanyabiashara Shabir Shaik ambaye alituhumiwa(2005) kwa tuhuma za Rushwa na kampuni ya Silaha ya Ufaransa.

Mr. Zuma na baadhi ya maofisa wa Serikali wametuhumiwa kwa kupokea malipo/fedha haramu kwenye ununuzi wa Jet fighters, Patrol Boats and other arms.

Mashitaka haya kwa mara ya kwanza yalizuka(2005) na kupuuzwa na waendesha Mashitaka (2009).

Last year, the high court ruled in case brought by the Opposition Democratic Alliance that should face charges.

Mr. Ramaphosa, ambaye ni kiongozi wa Chama cha ANC kwa sasa anauwezekano mkubwa sana wa kushinda uchaguzi mwaka 2019, Mr. Ramaphosa amekitaka Cha kuwa na Umoja.

Wanahabari wanasema hofu inatanda kwa maana ya kwamba Mr. Ramaphosa na washirika wake ndani ya Chama cha ANC wanaweza kumpinga Mr. Zuma kama atakataa kujiuzuru.

Source:BBC
http://www.bbc.co.uk/news/world-afrika-42940631
 
Back
Top Bottom