maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,289
- 5,542
ni kweli mkuu jiweke kwenye nafasi ya mwajiri ndo utaona inavyokerraKwa upande wangu nachukia sana watu hasa vijana ambao wanakuwa kwenye nafasi nzuri kazini halafu wanaondoka kwa 24hrs notice... hii profesionally inaonyesha kuwa bado hujakomaa.. hata kama Airtel walikuwa wanamuhitaji au wamepanda dau kubwa namna gani angewaambia wampe mwezi mmoja ila iweze kukabidhi ofisi.. yaani mimi naona bado dogo anautoto...