Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,480
- 78,729
..Leo saa Tisa..
Wewe ndio umechelewa kujua, wenzio tuko ofisini na majivu yetu kwenye paji la uso!duh...hamjui...
Wewe ndio umechelewa kujua, wenzio tuko ofisini na majivu yetu kwenye paji la uso!
kuna nini.....?
Nafikiri anazungumzia j5 ya majivu!
Mambo Preta!
Mamiee...mambo ya kwaresima yanaanza
kwa hiyo ndo naanza kufunga kutumia tusker lite.......?
kumbe unagonga Tusker lite ...ila unaweza kunywa nusu chupa ya tusker lite...Ruksa kwa niaba yangu..
...hutumia Primus,Skol,au Mutzing...au hata Serengeti...
we hizo pombe za kina papaa.....nakokufa motema te...ezalikolo makambo.....sizitaki....