mdhalendo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 282
- 273
Wadau kwema? Nimekuwa nikifuatilia matangazo ya ITV na radio one na mara nyingi wanapiga tangazo kutaja ving'amuzi kadhaa vinavyopaswa kuonyesha ITV, EATV. Wanaonekana kuvitambua ving'amuzi vya TING, DSTV, EASY TV, DIGITEK, CONTINENTAL, ZUKU, AZAM TV lakini hawataji STAR TIMES hali hiyo ikiwa ni sambamba na kupungua ubora wa matangazo ya ITV/EATV kwenye kisumbuzi cha startimes.
Nini sababu ya mgingano huu kwa anayefahamu tafadhali tujulishane sababu za mgogoro huu.
Nini sababu ya mgingano huu kwa anayefahamu tafadhali tujulishane sababu za mgogoro huu.