ITV vipi tena?

Uzuri ni kwamba wamesha anza safari ya kukichagulia tawi jema chama chao ili kikapumzike kwa amani. Nape alianza na gitaa kumtumbuiza Jk leo kaelekea kwenye gofu na makada wenzake iko siku watafanya mazoezi ya ukuli wa kubeba mizigo! Hapo patakuwa patamu maana wataanzia Ikulu kuchukua mizigo ya mwana wa mfalme kuipeleka bagamoyo. Huo ndio utakuwa mwisho wao.
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

Mkuu siasa ngumu kwelikweli, tena ukiwa na hasira kama zako unaweza jikuta unachanganyikiwa maana kama usanii watakuwa wametoa kwako. Nafikiri mkae na CDM na kuwekeana nao memorandum kuwa ule mchazo wa kinafiki muuache.

kuna msemo'kun.ya any.e kuku akin.ya bata kaharish.a' inauma kwelikweli, pale mtu anapochomoa page toka kwenye play book yako na kuifanyia kazi kukumaliza. Mchezo huu umekuwa ni karata ya CCM kwa muda mrefu sana, sikuwahi kujua kuwa ni unafiki

 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

Nape umeishiwa. Unasema haya baada ya baba yako MENGI kuwagomea ombi lenu la kutaka kuzuia kuonyeshwa kwa mkutano wa CDM. Mengi ni mtu wa busara sana. Ndiyo maana wanaomheshimu wamempa PHD ya heshima.

Subiri ninyi mkafanyie mkutano wenu Manzese. Au unadhani tumesahau kuwa mlipotoka Dodoma utambulisho wenu wewe na wenzako mlifanyia MANZESE? Hata hiyo methari yako ya Kuvuana Magwanda uliizindua hapo.

Na jinsi unavyokwenda na kauli unazitoa kila uchao, tayari watu wanamkumbuka TABWE HIZA maana kwa busara, yeye ni bora kuliko NEPI.
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki

samahani hivi unajijua kwamba ww ni janga la kitaifa?

Yani hyo@position yako bora hata wangemwacha mzee Makamba anabusara
 
Pole kwa kuumia kwa ndani ingawa utaki kuonyesha nje hapa jamvini ila kwa taarifa ya habari leo umeonyesha wazi kwamba inakuuma sana kuona kadi zinavyorudishwa. Kwakuwa mlishachafua kwamiaka Hamsini ni vigumu sana sasa watanzania kuwaelewa tena especially dotcom ambao ndio wengi sasa na wanasikilizwa na wazee. Najua unajuta kwanini ulijiunga na CCM ila kuondoka uwezi
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki
 
NAPE ninnamsikitikia kwa sababu,iwe anajua au hajui ukweli ameuona naaaa kuushuhudia.chadema ni gari kubwa.
 
Kweli kabisa yalikuwa maigizo kama ya wale wachungaji wanaoongea pale Jangwani, cha kunifanya nikubali kuwa ni maigizo ni pale waongeaji wanapobadili sauti na kuzifanya za kiuchungaji. Kweli kondoo waliopotea ni wengi. Usanii mtupu.


karibu kumbe na wewe upo?
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki
Upi ni uzishi mzigo.....Maisha bora kwa kila Mtanzania/Vua gamba/Vua uzalendo(jana)....? Nadhani ingekuwa heri kama unekuja na majibu ya kwanini migomo kila kukicha, toka kwa mtoto hadi mzazi....Nasikia mkulu(pale magogoni) nae amegoma ati anataka apewe fursa za kutalii sayari ya Utaridi? Mwenezi,tema sera acha propaganda za maji taka....Bado kijana mdogo,hivi niamini nikupe nchi....? Nitakuwa mwendawazimu...Nyinyiem ni chama cha vichaa....Watanzania hawahitaji kusikia toka kwenu siasa chafu,mmekuepo miaka nenda rudi mlitakiwa muwe mumekomaa....Hoja na majibu mfu....Toeni majawabu ya matatizo yanayowakabili Watanzania na si ITV kasema nini, halafu mwenezi anajitutumua kushadadia upuuzi...We balaa kweli....Na hapo ndipo unapotuangusha vijana,wengi wanashindwa amini kama tunaweza ingawa sie wachache bado tumejipambanua kuwa tunaweza,tuendelee aminiwa kupewa majukumu makubwa.........Nape,Nape Nape.....tulia,utapotea hadi ujishangae...Siasa za majitaka hazikunufaishi wewe ndugu yangu kwani bado u kijana.....
 
Hoja zako ni za kishabiki tu. Hazijazingatia hali halisi. Kiukweli CCM ni janga la kitaifa.
Yaani mkuu, huyu bwana hata huwa namshangaa. Anayoyasema na umri wake hayaendani kabisaaaaaaaaaa. Mwalimu wangu mmoja alipendelea kuwaita watu wa aina hii "Old Teenagers"
 
Wameona ni usanii mliofanya hawataki kushiriki uzushi........ Mnafanya maigizo mnataka wayatangaze??? Itv hongereni kwa kuwaumbua wanafiki
yaani utaumia kwelikweli mwaka huu...hivi jahazi modern taarab hawajatangaza nafasi za waimbaji mipasho?yaani kule ndo kunakufaa...ndo maana ulifukuzwa kwenye kampeni Igunga maana mdomo wako unashindwa ku connect na kilichoko kwenye ubongo
 
NAPE UMEFULIA UMEKIMBILIA MISENYI NA HUYO MPUUZI WAKO WA BMT,HUNA JIPYA :israel:
 
Back
Top Bottom