ITV na Wosia wa Baba wa Taifa

Ana matatizo huyo aliyetoa hii list! Unawezaje kumweka hapo Usein Bolt kisha ukawaacha Nyerere na Dr. Ben Carson?
Ana matatizo huyo aliyetoa hii list! Unawezaje kumweka hapo Usein Bolt kisha ukawaacha Nyerere na Dr. Ben Carson?
Aliyetoa list anazungumzia watu weusi. Sababu za kutaja watu weusi anazijua yeye.
Kinachoongelewa hapa ni waafrika. Obama. Martin Luther Jr siyo waafrika.
Aliye quote hiyo list kajichanganya.
 
Aangalie nini? Unadhani kila mtu anatumia ma net domain yanayokuwa regulated na TCRA ?

Vi intelligensia vya kibongo hivi technology contractor wao Lugumi ndio wa kufika kila mahali? Usitake kutishia free speech, don't be a wussy.

Ahsante sana!
 
Leo ITV wamekuja na Wosia wa Baba wa Taifa kuhusu udikteta ambapo wameonyesha sehemu ya Hotuba ya Mwalimu Nyerere akikemea udikteta hasa wa viongozi wa kiafrika na tabia ya madikteta hao kuminya uhuru wa habari.
Ungeweka hako ka klip mkuu. Au ulikuwa na wasiwasi wa kuwa katika mikono salama? Weka tu si alisema baba wa taifa?
 
Chondechonde, hotuba Za Nyerere zinamjaribu raisi! Na alisema yeye hajaribiwi!!,tena akasema yeye ni wa tofauti,,tuzifanyaje hizi hotuba?? Maana zinamjaribu mkuu wa nchi!! @MOTOCHINI,Lizaboni
 
Nahisi mibange ilishaharibu huo ubongo wako! Yesu yupo na ataendelea kuwapo! Yesu sio wa mwili na nyama kama wengine jua hilo! ila kwa kuwa wewe ni wa ukoo ule wa Lusifer huwezi kunielewa!

Bilashaka akili yako imevurugwa Baada YA mafuta yenu ya KY JELLY Kupigwa marufuku, tutatumia rays kuwachimba gesi nowadays ,,,,,
 
Back
Top Bottom