Baba wa taifa Mwalimu Nyerere aliikubali PLO siyo Hamas!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,044
Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikubali PLO siyo Hamas na alikuwa rafiki wa karibu wa Yasser Arafat

Tunapolitetea taifa la Palestine hatumaanishi tuko pamoja na Magaidi wa Hamas

Ahsanteni sana!
 
Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikubali PLO siyo Hamas na alikuwa rafiki wa karibu wa Yasser Arafat

Tunapolitetea taifa la Palestine hatumaanishi tuko pamoja na Magaidi wa Hamas

Ahsanteni sana!
PLO ni chama tawala na ndio maana Mchonga aliwasapoti HAMAS ni chama cha upinzan
 
Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikubali PLO siyo Hamas na alikuwa rafiki wa karibu wa Yasser Arafat

Tunapolitetea taifa la Palestine hatumaanishi tuko pamoja na Magaidi wa Hamas

Ahsanteni sana!
Pia kwenye linaloendelea kati ya Israel na Palestina hivi sasa wengi hawajui kuna Wapalestina wapo Ramallah na wengine wapo Gaza. Kule Ramallah kupo kimya na maisha yanaendelea kama kawaida.
Gaza ndiyo limegeuzwa gereza.
Gaza wana share border na Egypt lakini Egypt kawawekea fence, kuna wakati waliibomoa, lakini Egypt akaijenga tena.
 
Hakuna Diplomasia ya dunia hii inayoweza kuwapa ardhi yao Wapalestina, Wapalestina watumie kila mbinu wanayoona inafaa kupigania aedhi yao, uhuru wao na utaifa wao.

Ni kama kufikilia diplomasia na demokrasia inaweza kuitoa CCM madarakani.

Japs walikubali kusurrender WW2 baada ya kupigwa Nagasaki na ile little boy, walikaza shingo hata baada ya Hiroshima kupigwa.
 
Back
Top Bottom