ITV Mmemdhalilisha binti aliyetolewa mimba kwa kumuonesha live kwenye taarifa ya habari.

alafu mbona anaonekana mkubwa na wigi juu,ni mwanafunzi kweli alafu wa form 2 tusubiri tuone mwisho wake
 
Mimi sioni kama kutoa mimba ni big deal kwa miaka hii. Asilimia kubwa ya wanawake almost 70% walio kwenye ndoa na wasio kwenye ndoa wameshatoa mimba.

siri siri siri zitatufikisha pabaya, hakuna haja ya kuficha haya mambo kama hajalazimishwa kufanya hivo, usiri umekuwa mwiba kwenye jamii yetu hadi sasa, tumejifanya kuficha mambo ambayo kimsingi si ya kuficha kwani kuoneshA UKWELI UTAKUWA UNATOA ELIMU UPANDE WA PILI., FIKIRIA WAGONJWA WA UKIMWI WANGEKUWA WANAONESHWA KWENYE TV? NADHANI INGEKUWA SHULE TOSHA KWA WATU WOTE KULIKO KUANDIKA MAMBO KWENYE MAGAZETI NA VIJARIDA!TUTAFUTE NJIA AMBAYO ITAKUWA INADISPRAY UHALISIA!HOPE TUTASONGA MBELE SIO KAMA TUNAVYOFANYA SASA!

NI MAWAZO YANGU!
 
Kwani kuna ubaya gani kumuonyesha victim? Kila kitu mnataka kifichwe halafu mkija kukisikia mnabakia kulalama kuwa mnafichiwa habari

hapa ni suala la kulinda hadhi na utu wa muathilika...jiulize hadi kwenye daladala wakikuona wanasema'sio yule aliyetolewa mimba' unadhani anajionaje mbele ya jamii?
 
Nimeshangaa kuona mnamuonesha msichana aliyetolewa mimba bila kujali kuwa jambo hili litamletea shida katika maisha yake. nijuavyo habari kama hii huwa mnapaswa kutomu- expose mhusika kwenye public. msichana elizabeth afungue mashitaka kwa jambo hili.
Mimi nimependa sana. Kuna mambo mengi ITV walitaka tujue:1. Binti wa f2 alikuwa anatembeza kitengo mtaani mpka alipotolewa mimba2. Anaonekena kama changu kwa minywele, mikucha...3. Kuna dalili za uwongo kwani police imeabaini kuwa alikuwa house girl wa jamaa4. Usoni anaonekana kama ana lake jambo kwani hayuko serious na uzito wa tukioTuna haki ya kumwona live mtu kama huyo tena leo wamrushe mara ya 3
 
wanafunzi wanapata mimba kwa sababu ya viherehere vyao...JK,hapo ndipo kauli ya mkuu wa kaya inapopata mashiko..yule anayeitwa mwanafunzi wote si mmemuona alivyokaa kichanguchangu..vitoto vimepagawa siku hizi,.nenda maisha club ukaone visichana vya miaka 13 vilvyojaa vinaliwa madenda na mikaka...nyambaf kabisa watoto hawa.nawasilisha
 
binti hakubakwa, ametoa mwenyewe, sioni kama kuna tatizo hapo. Rais wetu hakukosea aliposema vinapopata mimba ni viherehere vyao.
 
wanafunzi wanapata mimba kwa sababu ya viherehere vyao...JK,hapo ndipo kauli ya mkuu wa kaya inapopata mashiko..yule anayeitwa mwanafunzi wote si mmemuona alivyokaa kichanguchangu..vitoto vimepagawa siku hizi,.nenda maisha club ukaone visichana vya miaka 13 vilvyojaa vinaliwa madenda na mikaka...nyambaf kabisa watoto hawa.nawasilisha
kumbe huko maisha ndo kulivyo? weekend hii ndani ya nyumba
 
Hapo ndipo namkumbuka ex presidaa mh mwinyi
""ndugu zanguni nawaambia ukweliiii tuna kaziii kubwa sana sababu kaugonjwa kale kamekaa sehemu imejificha aalfu tamu"""huyu ni rais wewe ni nani bana usipate utamu acheni siasa
 
Nami habari hii ya kuhuzunisha nimeipokea kwa hisia tofauti. Sijui wanaharakat wanalisemeaje. Pia lile dume mbona sikuliona?.
 
Kumshitaki Dr kunahitaji ushahidi mzito sana wa kisayansi. Hicho kichanga kwani kimepimwa DNA na kujua kwamba kweli ni cha Dr kwa sababu wanaume tupo wengi huyo mwanafunzi anaweza kuwa na wanaume hata kumi, ila mambo yakiharibika huwa anamchagua mmoja wa kumuhudumia au kumshikisha mimba.

Ushahidi wa kuchomwa sindano na Dr anao? Kuna picha au video aliyochukua inayoonyesha hicho kitendo? Dr akiweka Wakili kesi anashinda kwa uhakika.

Wanafunzi waache tamaa na kufanya zinaa kabla ya wakati wao kufika. Wengi wa wanafunzi wanapenda sana kuwa na mpenzi wa kuwanunulia chips mayai matokeo yake ndiyo hayo, hata kufanya ngono salama hawapendi siyo kwamba hawajui.
 
Anywa hii iwe fundisho kwa wengine
ni dk malyya wa aghakan...amekuwa akimshawishi sana ssana kumtoa huyu mwanamke mimba akawa anakataa
na alichofanya nahisi ndicho cha kumfikisha mahakamani kwa nini

1..sindano aliopigwa aijulikani kama iko salama
2.binti apimwe hiv pengine pamoja mmejua ni kwa ajili ya kutoa mimba pengine ameeweka mambo yake dk kukuondoa ni dk 1 na thumuni
3..swala la kwa nini amepata mimba hio ni la huyo binti kwa nini alimvulia chupi akijua ni mwanafunzi
na wakati anataka kuingiza akujua anatakiwa kutumia condom ama akujua asipotumia condom atazaa nzi??
Lazima hawa watoto ifike wajue matatizo kama haya ayako kwa wanaume tu na kwawanawake wajue ....
4.akiwa anampangusa shahawa yule mwanaume akumuuliza zile zilizo ingia ndani ni nini na madhara yake
5...lazima ajue wakati wa raha ajue kuna shida..hata biblia inasema kuna wakati wa raha wakati wa shida wakati wa kununa wakati wa kucheka sasa alicheka kitandania kikojolewa leo akanune vizuri



loh
Pdidy! Kha!:A S 465:
 
Nilimuangalia kwa makini sana yule binti, sikuamini kama ni mwanafunzi kweli. Yawezekana ni hawa wanaosoma QT kwa ajili ya kujipatia elimu ya sekondari kwa miaka miwili. Ile habari ya ITV, pamoja na jitihada za mwandishi kuwapata wahusika mbalimbali kuzungumza, bado ina maswali mengi yanayohitaji kujibiwa.

Sio rahisi mwanafunzi aliyeko shuleni akubali kujitangaza vile kwamba alikuwa na mimba na hakutaka kuitoa mpaka mpenzi wake (daktari) alipoamua kuitoa bila ridhaa yake. Halafu bila shaka mlimsikia akisema wakati anaondoka Aga Khan alimuomba jamaa nauli akampa Sh 700 tu.

Suala la nauli halikuwa muhimu katika habari ile, ila linaashiria kwamba kuna kitu kimejificha katika sakata zima. I hope mwandishi atafanya follow up na kutujulisha kinachoendelea. Naungana na wanaohoji suala la maadili katika kuonyesha picha ya yule binti kwenye TV. It's unethical. Wangeweza kunasa sauti yake tu bila kuonyesha picha yake.
 
kwa ripoti hii inaonesha huyo daktari hajamtoa mimba au vipi?
Ni kwmba daktari alikuwa na mahusiano na yule binti( nadhani ni kidato cha 2/3) then yule binti akaconceive daktari akamwambia waitoe mimba binti akakataa...sasa cku hyo ndo binti kaenda huko hospital Aga Khan jamaa katumia mwanya huo kumchoma sindano(nadhani ya uchungu) so binti akaondoka bt baada ya muda akafil maumivu..ksho yake kaenda hosptal nyngne kawe akajifungua kichanga hakijatimiza muda. Ndo zengwe likaanzia hapo.

QUOTE=zumbemkuu;3199369]nimecheki ile hbr sikuielewa vyema, msichana mwenyewe anataka haki ifuatwe, sasa sijui alilazimishwa kutoa mimba?
[/QUOTE]
 
Hi everyone!

Well nimesoma walau kila ujumbe wa mchangia mada ktk topic hii. Mimi nna yangu ya kusema kama ifuatavyo, " Huyu binti au msichana sio mdogo kama watu wengi wanavyodhani kuwa fikra zangu.

Vilevile naona huyu binti ana agenda binafsi anbayo ni yeye pekee anayejua. Hivi kuna yeyote ambaye amejiuliza itakuwaje endapo huyu Daktari amesingiziwa?

Kuna hata mmoja wenu atakaye tuma post nyingine kumsafisha kama alivyochafuliwa? Ni kweli daktari anamfahamu huyu msichana lakini anamfahamu kama housegirl wa ndugu yake na si mfanyakazi w a ndg yake kwa sasa.

Ushahidi wa kwamba alikuwa mpenzi wake au la hakuna anayejua. Ushahidi wa kuwa alimtaja kwakuwa anamfahamu out of something we all don know hakuna anayejua.

Ningeshauri watanzania wenzangu tusiwe wepesi wa kuhukumu. Ni kweli kuna makosa yamefanyika ila hatuna ushahidi wa wapi kosa limefanyika na kivipi. Mpaka hapo sheria na vyombo vya habari vitakapokuja na habari sahihi na za uhakika zilizithibitishwa kisayansi tuache kuongea sana tusiyoyajua.
 
Anywa hii iwe fundisho kwa wengine
ni dk malyya wa aghakan...amekuwa akimshawishi sana ssana kumtoa huyu mwanamke mimba akawa anakataa
na alichofanya nahisi ndicho cha kumfikisha mahakamani kwa nini

1..sindano aliopigwa aijulikani kama iko salama
2.binti apimwe hiv pengine pamoja mmejua ni kwa ajili ya kutoa mimba pengine ameeweka mambo yake dk kukuondoa ni dk 1 na thumuni
3..swala la kwa nini amepata mimba hio ni la huyo binti kwa nini alimvulia chupi akijua ni mwanafunzi
na wakati anataka kuingiza akujua anatakiwa kutumia condom ama akujua asipotumia condom atazaa nzi??
Lazima hawa watoto ifike wajue matatizo kama haya ayako kwa wanaume tu na kwawanawake wajue ....
4.akiwa anampangusa shahawa yule mwanaume akumuuliza zile zilizo ingia ndani ni nini na madhara yake
5...lazima ajue wakati wa raha ajue kuna shida..hata biblia inasema kuna wakati wa raha wakati wa shida wakati wa kununa wakati wa kucheka sasa alicheka kitandania kikojolewa leo akanune vizuri

loh

Pdidy, Mbona unatumia lugha kali? Umesahau kwamba hili sio jukwaa la wakubwa? Una bahati ningekuriporti kwa PAW lakini leo nimeamka vizuri!!!!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom