Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,579
- 5,381
Habari wakuu?
Leo ni tarehe yangu ya kuzaliwa (aka birthday). Nikitazama nyuma na kuona baraka za Mungu najiskia kujazwa na furaha.
Leo ni tarehe yangu ya kuzaliwa (aka birthday). Nikitazama nyuma na kuona baraka za Mungu najiskia kujazwa na furaha.
- nina familia yenye upendo (Mume na watoto wawili tunao walea kufatana na imani yetu). Asante sana honey, asanteni little angels, Mummy loves you all very much. Na in anticipation happy birthday to my first born, kazaliwa august 8th.
- Pia nina kazi nzuri (inayo nitosheleza mahitaji ya msingi na kunisaidia kuhishi katika dignity, ingawa sio kabisa tajiri mimi),
- Mwaka huu peke yake umekua wenye mafanikio mengi sana kwangu. Nimepata award mbili kubwa, zote international recognition of my leadership in social work. Pia nimemaliza course yangu ya postgraduate diploma (with distinction).
- Nawashukuru pia wazazi wangu (wote wawili wako hai) kwa kunipa msingi mzuri wa kujenga maisha yangu na kwa kuendelea kua washauri wangu wakuu baada ya mume wangu. Tunaongea nao mara nyingi sana ingawa hatuishi mji mmoja. Nawashukuru pia dada zangu na kaka zangu kwa kuwa marfiki pekee ambao vikwazo vidogo vidogo vya maisha vimeshindwa kututenganisha sababu feelings zetu zinalindwa na nguvu ya Mungu alie taka wawe ndugu na sio rafiki tu.
- Kweli bado kuna vitu vingi sana nahitaji kwa kutosheka kimaisha ila hivi nilivyo navyo ndio muhimu zaidi kwangu na ndio maana namshukuru Mungu kwa yote haya. Kanisaidia kuweka sawa mambo ya msingi ili niconcentrate kwenye mahitaji mengine ya ki-imani na personality.
- na nyinyi kama rafiki zangu wa JF, nawashukuru pia kwa kuwa nami siku ya leo. All the JF girls/Woman get a rose and all the men get a light kiss on the check.