It's my birthday (August 1st)

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,580
5,371
Habari wakuu?

Leo ni tarehe yangu ya kuzaliwa (aka birthday). Nikitazama nyuma na kuona baraka za Mungu najiskia kujazwa na furaha.
  1. nina familia yenye upendo (Mume na watoto wawili tunao walea kufatana na imani yetu). Asante sana honey, asanteni little angels, Mummy loves you all very much. Na in anticipation happy birthday to my first born, kazaliwa august 8th.
  2. Pia nina kazi nzuri (inayo nitosheleza mahitaji ya msingi na kunisaidia kuhishi katika dignity, ingawa sio kabisa tajiri mimi),
  3. Mwaka huu peke yake umekua wenye mafanikio mengi sana kwangu. Nimepata award mbili kubwa, zote international recognition of my leadership in social work. Pia nimemaliza course yangu ya postgraduate diploma (with distinction).
  4. Nawashukuru pia wazazi wangu (wote wawili wako hai) kwa kunipa msingi mzuri wa kujenga maisha yangu na kwa kuendelea kua washauri wangu wakuu baada ya mume wangu. Tunaongea nao mara nyingi sana ingawa hatuishi mji mmoja. Nawashukuru pia dada zangu na kaka zangu kwa kuwa marfiki pekee ambao vikwazo vidogo vidogo vya maisha vimeshindwa kututenganisha sababu feelings zetu zinalindwa na nguvu ya Mungu alie taka wawe ndugu na sio rafiki tu.
  5. Kweli bado kuna vitu vingi sana nahitaji kwa kutosheka kimaisha ila hivi nilivyo navyo ndio muhimu zaidi kwangu na ndio maana namshukuru Mungu kwa yote haya. Kanisaidia kuweka sawa mambo ya msingi ili niconcentrate kwenye mahitaji mengine ya ki-imani na personality.
  6. na nyinyi kama rafiki zangu wa JF, nawashukuru pia kwa kuwa nami siku ya leo. All the JF girls/Woman get a rose and all the men get a light kiss on the check.
Russian Roulette
 
Asante sana Red Devil, I didn't attend your birthday but I sent a friend, remember?
Russian Roulette ni mchezo ulio anzia Russia ila unachezwa pote duniani. unao uwezo wa kuuwa wachezaji. Wanaweka risasi moja ndani ya bastola ya aina fulani inayo weza kubeba masasi 6 (zile za western spagetti movies) alafu wanazunguusha chamber ya bulets. Huwezi kujua risasi liko tayari ku fyatuka ao ni zile "empties" ndizo ziko ready. alafu mchezaji anapingia hela na kujipiga kichwani. Kama akifa basi he has lost. kama akipiga lakini risasi halifyatuki anapewa hela.
Maana ya mimi kuchagua jina hili ni sababu nahishi maisha yangu with maximum risk na ikiwa hesabu zangu zitaambulia patupu risk ya kupoteza vitu muhimu katika maisha yangu ni kubwa sana ila hadi sasa sijawahi kupoteza.
Kwa zaidi kuhusu mchezo wa russian roulette gonga hapa:Russian roulette - Wikipedia, the free encyclopedia
 
w8cbmiYV1bqoAAAAABJRU5ErkJggg==

Mungu akujalie maisha marefu zaidi na yenye mafanikio.
 
asante sana red devil, i didn't attend your birthday but i sent a friend, remember?
Russian roulette ni mchezo ulio anzia russia ila unachezwa pote duniani. Unao uwezo wa kuuwa wachezaji. Wanaweka risasi moja ndani ya bastola ya aina fulani inayo weza kubeba masasi 6 (zile za western spagetti movies) alafu wanazunguusha chamber ya bulets. Huwezi kujua risasi liko tayari ku fyatuka ao ni zile "empties" ndizo ziko ready. Alafu mchezaji anapingia hela na kujipiga kichwani. Kama akifa basi he has lost. Kama akipiga lakini risasi halifyatuki anapewa hela.
Maana ya mimi kuchagua jina hili ni sababu nahishi maisha yangu with maximum risk na ikiwa hesabu zangu zitaambulia patupu risk ya kupoteza vitu muhimu katika maisha yangu ni kubwa sana ila hadi sasa sijawahi kupoteza.
Kwa zaidi kuhusu mchezo wa russian roulette gonga hapa:russian roulette - wikipedia, the free encyclopedia
i wish u all the happiness in the world. Happy birthday my dear
 
º° Happy Birthday. Wishing you joy and good health during that new year of your life (and beyond it!).°º
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom