Kwanza hata post yako ina utata, kwani unataka kutueleza kwamba e-mail hiyo imetoka kwa mtu mmoja na kwenda kwa mtu huyo huyo. Mimi sijaelewa hizo address, aliyetuma ni nani na aliyepokea (wewe) ni nani !!Verify Your Account To Avoid It Closed‏‏‏‏‏‏‏
From: Windows Live Team (ninlawan45@hotmail.com)
You may not know this sender.Mark as safe|Mark as junk
Sent: Tue 8/11/09 4:21 AM
To: Windows Live Team (ninlawan45@hotmail.com)