Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
Je, unashangaa pia hivyo kwa Kikwete na Mkapa? Maana Magufuli kila siku anatuambia "nchi hii ilichezewa sana", "nchi ilikuwa imeoza", "watu walikuwa wanakufuru kwa kutumia fedha za umma".Mimi kinachonisikitisha ni wao kuendelea kupata MALIPO, POSHO na MASURUFU Wakati hawajawahi kufanya chochote ( Kwasababu huwa wanatuambia serikali ya CCM haijafanya chochote kwa miaka 50 ) na muda huo na wao walikuwemo walipaswa hata kufanya chochote hawakufanya sasa kuendelea kuwalipa ni WIZI na UDHULMATI