Itakupa picha gani JK akiwarudisha viongozi ambao wamekataliwa na wananchi?

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Kama raia wa kawaida itakupa picha gani kama Rais wako akiwarudisha watu ambao walishindwa kwenye kura za maoni za CCM like "kamala" na wale walioshindwa kwenye kinyang'anyiro chenyewe cha kura tulizopiga juzi kama "Masha", Je huyo atakuwa rais makini?
 
subiri kwanza!! slaa hawezi kuwachagua na kikwete hawezi kuwa rais wangu...
 
Back
Top Bottom