sika
Member
- Oct 5, 2009
- 21
- 0
wana JF mi nina swali naomba mawazo yenu.Hivi kwa nini sisi wanaume hatupendani na kujaliana wenyewe kwa wenyewe? hivi punde nilichomoka ofisini na kwenda bank ya NMB kwenya ATM nikakutana na bonge la foleni kama mbagala,niaamua kuingia ndani ili nisaidiwe kule ndani nikamfuata kijana mmoja wa lika langu ili anisaidie aka nitosa, nikarudi kwenye que yangu na baada ya muda akaja dada mmoja hivi masharaa akaona foleni ndefu akaamua kwenda ndani kutest zali mungu mkubwa akaenda kwa jamaa aliyenitosa mm na kusaidiwa na yuleyule mshikaji aliyenitosa mm,sasa wandungu tuasaidiane hiv kwa nini sisi wanaume hatujaliani wenyewe.