Issac Gamba na vituko vyake vya utangazaji

kuna yule dada anaitwa Rachel Udoba....huwa akitangaza habari mawazo yake yanakuwa hayapo pale...anakuwa na mawazo yake mengine,anakufanya msikilizaji usubiri kusikiliza anataka kusema nini....very boring

Kesha acha kazi
 
Halikuwa swali mkuu, ukiangalia vizuri kwesheni maki ilikuwa inawekea uzito zile haipothesi

Mimi habari za mwisho na naamini ni za zamani sana lakini ni ukweli asilimia100,
Mhavile Joyce aliwahi kuolewa na bwana mmoja aliekuwa mchezaji wa CDA John Chale..enzi zile baba Joyce ni mkuu wa mkoa! enzi hizo wahezaji walikuwa wanaheshimika sana nchi hii!..
 
Mtangazaji wa ITV na Radio one bwana Isaac Gamba huwa ananiacha hoi kwa tabia yake ya utangazaji ya kukatakata(yaani ana weka "pozi" mahali pasipotakiwa kuweka) katika sentensi, sasa sijui ni staili tu au ni kigugumizi!? ukimsikiliza kwa harakaharaka wakati mwingine unaweza umwelewe tofauti.
Mfano wa maneno ambayo nimemsikia akiweka pozi na kuchanganya habari ni kama ifuatavyo.....,
...Uhusiano kati ya Uchi.....na Taiwan
...Kazi hiyo ya kuku...................sanya maoni ...
...Mamlaka ya usafi....................riwa anga...
...Ulaji wa mbo....................gamboga kwa afya...
...Rais Kikwete alifua............tana na waziri mkuu..
...Mpambano kati ya Mbwa...............na Matumla
...Raisi Kikwete na uongo...........ziwake
Ajitahidi kujirekebisha bwana...
Haya maneno yamenifanya nicheke sanaaaana, ila ni kweli mala nyingi huwa anatamka hivyo.
 
Afadhali ya Gamba, lakini Recho Udoba anaboa zaidi. Kuna wakati huwa sauti inamkwama kabisa ilhali anasoma taarifa ya habari. Huwa inaboa sana.
 
Achilia Gamba kuuma maneno, sauti za watangazaji wengi wa kiume wa Radio one/ITV zinaboa mno ni kama huwa wanavuta sigara kwanza kabla ya kuingia studio. wako tofauti kabisa na media house zingine.
 
Kuna mdada mmoja wa Radio One... alikuwa anasoma matangazo ya vifo... "GREEN ACRES" anasoma "GRIIINI AKREESI" Poor soul...
 
Mtangazaji wa ITV na Radio one bwana Isaac Gamba huwa ananiacha hoi kwa tabia yake ya utangazaji ya kukatakata(yaani ana weka "pozi" mahali pasipotakiwa kuweka) katika sentensi, sasa sijui ni staili tu au ni kigugumizi!? ukimsikiliza kwa harakaharaka wakati mwingine unaweza umwelewe tofauti.
Mfano wa maneno ambayo nimemsikia akiweka pozi na kuchanganya habari ni kama ifuatavyo.....,
...Uhusiano kati ya Uchi.....na Taiwan
...Kazi hiyo ya kuku...................sanya maoni ...
...Mamlaka ya usafi....................riwa anga...
...Ulaji wa mbo....................gamboga kwa afya...
...Rais Kikwete alifua............tana na waziri mkuu..
...Mpambano kati ya Mbwa...............na Matumla
...Raisi Kikwete na uongo...........ziwake
Ajitahidi kujirekebisha bwana...
hahaha kweli wewe mzizi wa mbuyu
 
Japokuwa muda umepita kidogo, naomba kuchangia.
Kuna mtangazaji aliwahi kutaja baadhi ya makabila kwa kigugumizi hivi:
'kabila ya kisu- **** na ya kinya- mbo hupenda sana kuongea kilugha chao!'
 
Kuna binti yupo Clouds FM anatangaza kipindi fulani baada ya sports extra.. DUH!
 
Mtangazaji wa ITV na Radio one bwana Isaac Gamba huwa ananiacha hoi kwa tabia yake ya utangazaji ya kukatakata(yaani ana weka "pozi" mahali pasipotakiwa kuweka) katika sentensi, sasa sijui ni staili tu au ni kigugumizi!? ukimsikiliza kwa harakaharaka wakati mwingine unaweza umwelewe tofauti.
Mfano wa maneno ambayo nimemsikia akiweka pozi na kuchanganya habari ni kama ifuatavyo.....,
...Uhusiano kati ya Uchi.....na Taiwan
...Kazi hiyo ya kuku...................sanya maoni ...
...Mamlaka ya usafi....................riwa anga...
...Ulaji wa mbo....................gamboga kwa afya...
...Rais Kikwete alifua............tana na waziri mkuu..
...Mpambano kati ya Mbwa...............na Matumla
...Raisi Kikwete na uongo...........ziwake
Ajitahidi kujirekebisha bwana...

Umeifanya Jumatatu yangu leo kuwa changamfu!
 
Hahahaaaaa....umenikumbusha mwaka 1990 mtangazaji mmoja alikuwa Ara Ti Dii sasa hivi yuko Bi BI Sii alikuwa anatangaza mpira kati ya Simba na Yanga sasa Simba ilifungwa 3-1 na yeye alikuwa mnazi wa simba. Sasa Zamoyoni Mogella alipiga vyenga kama 6 hivi alipokaribia kumfunga Stephen Nemes, akapiga shuti mpira ukagonga besela ukarudi uwanjani beki za Yanga zikaosha! Sasa sikiliza alivyotangaza......Zamoyoni....anapiga chenga ya kwanza, yapili, yatatu.....zamoyoni mogela bado anao....anapiga chenga ya nne....ya tano, ananyanya sa hapa zamoyoni mogela, anapiga chenga ya sita...anapiga shuti gooooooooooooooooooooooo aaaaaaaaakum.a mamake ......linagonga mwamba.....zamoyoni namna gani hapa!
Nasikia kidume kikapewa onyo kali, akazira akahamia kwenye redio anayotangaza Isac Gamba sasa hivi....napo wakazinguana....saa hizi anakula bata kwa Malkia.
Watangazaji wetu wakati mwingine wanatoa burudani sana.
 
Ephrahim Kibonde alikuwa mshereheshaji kwenye uzinduzi wa kuchangia kampeni ya CCM kwa njia ya simu... alichapia na kutaja neno kum* mbele ya hadhara ile, ama kweli mfupa hauna ulimi.
 
Ni kweli wakati mwingine jamani inakuwa kama burudani......lakini Gamba kazidi jamani,....
Vijana wangu wameniambia aliwahi pia kusema....
...Mcha............mbuzi huyo anaeitwa Issa SHIVJI....
...Raisi Kikwete alikuwa anasubiri uji.........o wa rais wa Msumbiji...
....Raisi Kikwete alitoa zawadi ya mbu......zi , na vykula vingine kwa ajili ya sikukuu...

Kimsingi inatakiwa afanye mazoezi sana ya kutamka maneno...yako mazoezi kwa mtangazaji kumpunguzia kigugumizi cha hapa na pale, la sivyo ataendelea kuonekana kituko.
 
Mtangazaji wa ITV na Radio one bwana Isaac Gamba huwa ananiacha hoi kwa tabia yake ya utangazaji ya kukatakata(yaani ana weka "pozi" mahali pasipotakiwa kuweka) katika sentensi, sasa sijui ni staili tu au ni kigugumizi!? ukimsikiliza kwa harakaharaka wakati mwingine unaweza umwelewe tofauti.
Mfano wa maneno ambayo nimemsikia akiweka pozi na kuchanganya habari ni kama ifuatavyo.....,
...Uhusiano kati ya Uchi.....na Taiwan
...Kazi hiyo ya kuku...................sanya maoni ...
...Mamlaka ya usafi....................riwa anga...
...Ulaji wa mbo....................gamboga kwa afya...
...Rais Kikwete alifua............tana na waziri mkuu..
...Mpambano kati ya Mbwa...............na Matumla
...Raisi Kikwete na uongo...........ziwake
Ajitahidi kujirekebisha bwana...

hahahahahaaaaaaaaaa unanivunja mbavu ' ulaji wa mbo....................................gamboga kwa afya'.................duuuuuuuuuuuuuuu

H
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom