Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,204
- 10,948
Jumla ya maeneo 16 ya kuzikiana watu huko Gaza yamefukuliwa na jeshi la Israel kwa kile wanachokiita kutafuta mateka.
Pamoja na kufukua makaburi hayo vile vile katika baadhi ya maeneo wamejenga kambi zao za muda juu ya makaburi hayo.
Kitendo hicho kimewashangaza watetezi wa haki za binadamu wakisema ni uvunjaji mkubwa wa sheria za kivita.
Matendo hayo zaidi ya kuwa ni uvunjaji wa sheria za kimataifa kuhusiana na vita pia inaonesha ni kama kuchanganyikiwa kwa jeshi hilo likitaka kuharakisha mafanikio ya malengo yake ya kivita na bila mafanikio.
Kwa upande mwengine inaweza kutoa tafsiri kama kwamba jeshi la IDF limeamua kupigana na maiti wasioweza kujitetea baada ya kushindwa na Hamas.