Israel yacharuka, yasema imejiandaa kupiga sehemu yoyote nchi za mashariki ya kati

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,186
10,924
Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagar amedhihirisha nia ya Israel iliyojificha kwa kusema wamejiandaa kujibu mfano wa mapigo ya HezboLlaah si Lebanon tu bali sehemu yoyote ile ya mashariki ya kati.

"We do not choose war as our first priority, but we are certainly prepared," Hagari said."We will continue to act wherever Hezbollah is present, we will continue to act wherever it is required in the Middle East. What is true for Lebanon is true for Syria, and is true for other more distant places."

--

Israel is launching airstrikes against Hezbollah targets in Lebanon Wednesday, after the terrorist organization launched a rocket barrage that killed one woman and injured eight others in Israel.

The rocket barrage struck several northern Israeli communities on Wednesday morning. One of those injured remains in serious condition, another received significant injuries and six others were lightly injured, according to local officials.

Hezbollah's rockets struck the Kibbutz Manara, Moshav Netu’a, as well as a military base, all in northern Israel.

The exchange of fire comes after Israel has repeatedly warned Hezbollah that a full-scale war with Israel remains on the table.

Israel Defense Forces spokesman Daniel Hagari addressed Hezbollah earlier in February, saying that Israel will be "ready to attack immediately" if provoked, but said they do not wish for outright war.

If Israel were to launch an offensive against Hezbollah in Lebanon to the north, it would be locking itself into a two-front war, with Hamas and Gaza in the south.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and other top Israeli officials have said they expect the war against Hamas to go on for "many more months."

Meanwhile, the U.S. has sought to prevent Israel's retaliatory war from boiling over into a regional conflict. Iran's proxy terrorist groups – Hezbollah among them – have wreaked havoc across the Middle East since Oct. 7, however, launching attacks against the U.S., Israel and international shipping vessels.
 
Naona zile kelele za hapa jukwaani zimepotea kabisaa!!!
Tukiwaambia Israel sio watu wa kubishana nao muwe mnatuelewa hawa jamaa ni makatili duniani hakuna wapo radhi wapigane hata Kwa miaka 2 mbele ilimradi kikundi cha Hamas kitoweke duniani na Hilo ndilo lengo Lao kuu
 
Mlisema hivyo, kwamba Israel anaogopa kupeleka Askari wake Gaza... Now mnaomba asiende Rafah
Ni shida! Tena vita ikiibuka kati ya Hezbollah na Israel safari hii Marekani anakuwa involved full na sio partially. Niko hapa nasubilia
 
Bikira faizafoxy anasemaje au anahudumia wateja wake peponi?
 
Wale chawa wa Hamas wameparalaizi mikono siwaoni hapa
Kanuni ni ile ile kwa Israel akikuanza mmalize.
 
Wameamua
 
Hezbollah muda wao kupigwa umefika, hao ni moja ya Iran proxies in the Middle East, so watafutika kabisa..!!
 
Mlisema hivyo, kwamba Israel anaogopa kupeleka Askari wake Gaza... Now mnaomba asiende Rafah
Hizbollah kafanya hasara kubwa sana kwa Israel.
Kumbuka kambi ya GALILEE ILIGEUZWA JIVU ILITEKETEA YOTE.
Nashangaa Israel bado haifanyi full escalation ila ingekuwa kundi kama Hamas vifaru vingeshapenya.
 
Ni shida! Tena vita ikiibuka kati ya Hezbollah na Israel safari hii Marekani anakuwa involved full na sio partially. Niko hapa nasubilia
US kwa kinachoendelea red sea hayuko willing kujihusisha na direct war yeyote ile.
Kwani hajui hasara alizoingia pindi alipojihusisha na vita zilizoingiliwa na Iran??
Red sea kushamshinda na Hizbollah ni jeshi kamili wamekosa nuke weapons tu hadi vifaru pia wanavyo.
 
Naona zile kelele za hapa jukwaani zimepotea kabisaa!!!
Tukiwaambia Israel sio watu wa kubishana nao muwe mnatuelewa hawa jamaa ni makatili duniani hakuna wapo radhi wapigane hata Kwa miaka 2 mbele ilimradi kikundi cha Hamas kitoweke duniani na Hilo ndilo lengo Lao kuu
Kuna mtu aliwahi kupigana na ideology akashinda?
 
US kwa kinachoendelea red sea hayuko willing kujihusisha na direct war yeyote ile.
Kwani hajui hasara alizoingia pindi alipojihusisha na vita zilizoingiliwa na Iran??
Red sea kushamshinda na Hizbollah ni jeshi kamili wamekosa nuke weapons tu hadi vifaru pia wanavyo.
Houth wameshaanza kumiliki sea drones ambazo sasa hivi ndio silaha kali ya Ukraine inayoitia hasara Urusi.
Marekani imeshaanza hofu na hizo sea drones kwani zina uwezo wa kupenya na kupiga zile meli zake kubwa za kivita kama kisiwa.Ikitoboa tundu kwa chini meli inaweza kujaa maji na kuzama.
Isipokuwa inaonekana hizi walizonazo houth made in Iran bado hazijakuwa na ufanisi kama zile za Ukraine.Lakini kwa vile Houth na Hizbollah nia wanazo za kupigana wataongeza teknolojia mpaka iko siku Marekani atakiona cha mtema kuni baharini kama kule ardhini Iraq.
 
Back
Top Bottom