JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,318
- 5,483
Maafisa wa Tanzania wanaendelea kuwatafuta Watanzania hao waliokuwa Kusini mwa Israel ambapo kuna vita inayoendelea kati ya Taifa hilo na wapiganaji wa Kundi la Hamas kutoka Palestina.
Balozi wa Tanzania Nchini Israel, Alex Kallua amezungumza na BBC na kueleza kuwa Wanafunzi hao wamekuwa katika mafunzo ya vitendo, wamewatafuta hadi Hospitali walikolazwa majeruhi wa vita lakini hawajafanikiwa kuwapata.
Balozi amesema “Tumewasiliana na Mamlaka pamoja na Taasisi wanayosoma hakuna aliyetoa majibu ya uhakika wala kujua walipo."
Kuna Watanzania 350 wanaoishi Israel kati yao Wanafunzi ni 260 wanaosomea masuala ya kilimo.
============
Two Tanzanian students still missing in Israel
Tanzanian officials are still looking for the two Tanzanians missing in southern Israel - the area hit by the Hamas attack over the weekend.
Tanzania’s ambassador to Israel, Alex Kallua, told the BBC the two had been doing internships there.
“Early today there were some information circulating that some Tanzanians had been injured, but we followed up with hospitals where the rescued were taken but did not find any,” he said.
“We have been communicating with the authorities and even the institution that arranged for their internship and none of them had information on where the students were.”
There are around 350 Tanzanians living in Israel including around 260 students pursuing agricultural programmes, according to the embassy.
Source: BBC