zajuza2000
Senior Member
- Feb 13, 2013
- 109
- 47
surat nisai aya 171 ( kitabu cha wanawake ). "enyi wakristo mliopewa kitabu, mtu yeyote asiwatoe katika imani yenu ya kikristo. Wala msiseme kitu kibaya kinachomhusu mungu wa mbinguni. Hakika mpakwa mafuta yesu aliyezaliwa na mariam, ni mjumbe wa mwenyezi mungu, na ni mwana wa mungu, na yeye ni roho ya mungu".
Waislam wanaposema eti yesu ni mtu wa kawaida kama wao nashangaa kabisa.
nafikiri hii iko nje ya maada , cha msingi ungelijadili hiyo maada inayojadiliwa kwanza. Iyo ya yesu ni mungu au ni mtu wa kawaida ni mjadala mwengine uo.