Ha! Waishi mbali na dunia wewe! Iran imeanza kuunda UAV mwisho wa vita na Iraq kwenye miaka ya 90, hata kabla ya Israel. Hii UAV iliyoingia Israel ni ya kisasa zaidi hata Radar za Israel hazikuiona kwa zaidi ya nusu saa. Soma habari hizi kutoka vianzio vya Waisraeli wenyewe hapa: DEBKAfile, Political Analysis, Espionage, Terrorism, Security
Hivi sasa kuna mtaharruku ndani ya Israeli hawajui Iran ina kitu gani kingine wasichoweza kuking'amua......sasa endelea.
Israel inakunyima usingizi, na bado, subiri ngoma ianze ndio utaelewa vinavyo elea viliumbwa.
Israel kwanini wai suspect IRAN na kajikundi ndani ya LEBANON yan HIZBULLAH kua ndo wanahusika? Mbona ata QATAR na wenyewe wanatengeneza drones na still US ana bases nyingi middle east na ana oparate drone ? Inshort ISRAEL wameshindwa sana kitechnologia na IRAN kwani drone walioitungua haikua rader evading drone lakin IRAN waliweza ku spoof na kuihack US sentinel tena ile drone ni ya hali ya juu, kwanza is rader evading that means haionekani kwenye rader, ina special coat ambayo ina absorb, is fifth generation yani ile drone ya US iliyochukuliwa na IRAN ina sifa kibao kiasi ina endeshwa na CIA tu haikua kitu kidogo kwa US kiasi senate ilikaa na kutaka itumwe special forces na fighter jets kwenda kuiteketeza ile ndege IRAN lakini wakaona that will be act of war ikabidi OBAMA awaombe IRAN wairudishe lakini wairan wakawapelekea vitoi vingi...CHINA ,RUSSIA ilibidi wawaombe Iran ili wajaribu kuiona ile ndege hatujui km walipewa...Tukumbuke China last year walitest ndege yao ya fight generation mpaka US walishituka kwani kua na hizo ndege ni rahisi kuvamia nchi yeyote lakini IRAN wamesema wamesema wametengeneza rader yenye uwezo wa kuziona hizi ndege toleo la 5...
Hezbollah Secretary General Seyyed Hassan Nasrallah confirms the Lebanese resistance movement has sent a drone deep into the Israeli airspace evading radar systems.Spot on mkuu, Hezbullah tangu lini ikahunda DRONES na kuwa na uwezo wa kuziongoza remotely - hivi inaingia akili kwamba Lebanon inaweza kurusu Hezbullah watumie uwanja wao wa ndege kwa kurusha Drones hizi?
Wenye Drones Mashariki ya kati ni Waisrael na infact wanazihuza kwa nchi marafiki, juzi juzi hapa ndio nilisikia kwamba IRAN ina mpango wa kuhunda drones wakishirikiana na Serikali ya Hugo CHAVES.
Waisrael wana mbinu nyingi sana za kutaka kuanzisha vita na IRAN kwa kutumia visingizio vya kila aina, wanacho tafuta ni kutaka kuonyesha DUNIA kwamba IRAN ni TAIFA hatari sana bila kuwa na a regime change basi Mashariki ya kati haitakuwa SALAMA, oh yes the bottom line ni kwamba Israel na Merikani hawataki IRAN iwe na silaha za ki-nuclear Mashariki ya KATI, wakiwa nazo wataifunika Israel ambayo ina silaha hizo na inazitumia(kisaikolojia) ku-blackmail Waarabu. Mimi siamini kama IRAN ina mpango wowote wa kuifuta Israel kutoka uso wa DUNIA, wanajuwa fika kwamba wakithubutu kuivamia au kupiga mabomo Israel basi huo ndio utakuwa mwisho wa utawala wa IRAN.
Hezbollah Secretary General Seyyed Hassan Nasrallah confirms the Lebanese resistance movement has sent a drone deep into the Israeli airspace evading radar systems.
The operation code-named Hussein Ayub saw Hezbollah's drone fly hundreds of kilometers into the Israeli airspace and getting very close to Dimona nuclear plant without being detected by advanced Israeli and US radars, Nasrallah said during a televised speech late on Thursday.
"This is only part of our capabilities," he stressed, adding that Israelis have admitted to their security failure despite being provided with the latest technologies by Western powers.
Wamemaliza kila kitu sasa vita sijui vitakuwaje mkuu ikiwa Hezbullah anazo Drone Muisrael si amekwisha?