Israel downs drone over its airspace, suspects Hezbollah

Ha! Waishi mbali na dunia wewe! Iran imeanza kuunda UAV mwisho wa vita na Iraq kwenye miaka ya 90, hata kabla ya Israel. Hii UAV iliyoingia Israel ni ya kisasa zaidi hata Radar za Israel hazikuiona kwa zaidi ya nusu saa. Soma habari hizi kutoka vianzio vya Waisraeli wenyewe hapa: DEBKAfile, Political Analysis, Espionage, Terrorism, Security
Hivi sasa kuna mtaharruku ndani ya Israeli hawajui Iran ina kitu gani kingine wasichoweza kuking'amua......sasa endelea.

Mkuu nakuomba usome post nilizo andika kuhusu suala hilo, sio kwamba nilikuwa sijuhi kwamba IRAN wana uwezo wa kuhunda UAV - hiyo niliacha kutaja kwa maksudi kufuatana na IRAN yenyewe kusema wange nunua UAV kutoka Venezuela, lakini deep down nilijua wa IRAN wanahadaa DUNIA wenye ujuzi wa kuhunda UAV ni Wairan sio Wavezuela. Labda nikukumbushe kwamba hizo crude UAV za kwenye miaka ya 90 hazikuwa IRAN tu hata IRAQ iliwahi kuzitumia kwenye vita vya kwanza kati yake na Washirika wa Merikani.
 
Israel kwanini wai suspect IRAN na kajikundi ndani ya LEBANON yan HIZBULLAH kua ndo wanahusika? Mbona ata QATAR na wenyewe wanatengeneza drones na still US ana bases nyingi middle east na ana oparate drone ? Inshort ISRAEL wameshindwa sana kitechnologia na IRAN kwani drone walioitungua haikua rader evading drone lakin IRAN waliweza ku spoof na kuihack US sentinel tena ile drone ni ya hali ya juu, kwanza is rader evading that means haionekani kwenye rader, ina special coat ambayo ina absorb, is fifth generation yani ile drone ya US iliyochukuliwa na IRAN ina sifa kibao kiasi ina endeshwa na CIA tu haikua kitu kidogo kwa US kiasi senate ilikaa na kutaka itumwe special forces na fighter jets kwenda kuiteketeza ile ndege IRAN lakini wakaona that will be act of war ikabidi OBAMA awaombe IRAN wairudishe lakini wairan wakawapelekea vitoi vingi...CHINA ,RUSSIA ilibidi wawaombe Iran ili wajaribu kuiona ile ndege hatujui km walipewa...Tukumbuke China last year walitest ndege yao ya fight generation mpaka US walishituka kwani kua na hizo ndege ni rahisi kuvamia nchi yeyote lakini IRAN wamesema wamesema wametengeneza rader yenye uwezo wa kuziona hizi ndege toleo la 5...
 
Israel kwanini wai suspect IRAN na kajikundi ndani ya LEBANON yan HIZBULLAH kua ndo wanahusika? Mbona ata QATAR na wenyewe wanatengeneza drones na still US ana bases nyingi middle east na ana oparate drone ? Inshort ISRAEL wameshindwa sana kitechnologia na IRAN kwani drone walioitungua haikua rader evading drone lakin IRAN waliweza ku spoof na kuihack US sentinel tena ile drone ni ya hali ya juu, kwanza is rader evading that means haionekani kwenye rader, ina special coat ambayo ina absorb, is fifth generation yani ile drone ya US iliyochukuliwa na IRAN ina sifa kibao kiasi ina endeshwa na CIA tu haikua kitu kidogo kwa US kiasi senate ilikaa na kutaka itumwe special forces na fighter jets kwenda kuiteketeza ile ndege IRAN lakini wakaona that will be act of war ikabidi OBAMA awaombe IRAN wairudishe lakini wairan wakawapelekea vitoi vingi...CHINA ,RUSSIA ilibidi wawaombe Iran ili wajaribu kuiona ile ndege hatujui km walipewa...Tukumbuke China last year walitest ndege yao ya fight generation mpaka US walishituka kwani kua na hizo ndege ni rahisi kuvamia nchi yeyote lakini IRAN wamesema wamesema wametengeneza rader yenye uwezo wa kuziona hizi ndege toleo la 5...

Heshima yako mkuu, ni kweli umahili wa Wairan kiteknolojia ni moto wa kuotea mbali - nakwambia Wamerikani walitaka aridhi ipasuke wapotee kwa aibu - hiyo US Sentinel ni moja wapo ya DRONES ambazo ziko very sophisticated kweli kweli kile kitendo cha Wairan kufanikiwa kuitelemsha ikiwa almost intact!! Sina shaka kitendo hicho kiliwafanya TEAM ya wana sayasi wa Kimerikani walio husika kuihunda DRONE hiyo kuchanganyikiwa akili walipo pata habari hiyo mbaya kwao.

Ketekinolojia Wairan wanashirikiana sana na Wachina, Wakorea wa kasikazini na Pakistan, Wairan hawako karibu sana na Warusi kwa kuwa Warusi ni vigeu geu alafu Warusi wanajuwa wakiwapa Wairan latest silaha kuna uwezekano mkubwa Wairan wanakafanya a reverse Engineering na kuweza kuziboresha zaidi; Tangu Warusi wapoteze RADAR yao mwaka 1973 wakati wa vita kati ya Waarabu na Israel kutokana na uzembe wa waarabu (Misri) walihapa hawatafanya makosa hayo tena yakuwahuzia silaha za kisasa watu wazembe.

Ni kwamba RADA hizo zilikuwa zitatumika kuongozea SAM6, zilifanikiwa kwa kiwango cha kutisha kwa kutungua ndege chungu mzima za Waisrael mpaka Wayahudi wakachanganyikiwa wakafika hatua ya kalazimika kuwafunga minyororo marubani kwenye cockpit ili wasiweze ku-bale out kwa parachute, ma Commander wa Airforce ya Israel walifikili marubani wao wana angusha ndege zao kimaksudi hawataki kupigana vita kumbe si kweli!! Walipo gunduwa kwamba rada ya kuongozea SAM6 ndio inamaliza ndege zao, basi Makomado wa Israel wajipanga kwa kutafuta kila mbinu kuibeba nzima nzima mpaka kwao ili waweze kuichunguza, walitumia helicopter sijuhi ngapi baada ya kuwavamia Waarabu walio kuwa wana husika na mtambo huo - watu wengine wanasema waarabu waliji sahua wakaenda kusali sijuhi sala ya saa ngapi nyuma yake Waisrael wakawazidi kete wakabeba system yote nzima nzima - Warusi walipo pata habari walikasilika SANA, tangu incident hiyo wako makini sana katika uhuzaji wake wa silaha zao kwa third party. Mimi sijuhi Wamerikani walijiamini vipi kushindwa kuiwekea high explosives such a TOP SECRET DRONE ili ikiwa mikononi mwa ma aduhi zake ijilipuwe yenyewe!!!

Kuhusu tekinolojia ya Stealth, ni kwamba Wachina walifanikiwa kupata mabaki ya B-2 ya Kimerican iliyo angushwa huko Bosnia wakati wa vita vya kumung'oa Slobodan Milosevic, Wayugoslavia waliwapatia mabaki hayo Wachina wakayasafirisha kwenda kwao kuyafanyia uchunguzi, uchunguzi huo ndio umeiwezesha UCHINA kuhuda ndege zenye tekinolojia kama hiyo, si hilo tu hata raid ya juzi juzi nchini Pakistani to kill OSAMA nayo ilikuwa ni kama treasure trove kwa Wachina maanake helicopter zilizo tumika kufanikisha uvamizi huo nazo uhundaji wake ni TOP SECRET lakini kwa bahati mbaya moja wapo iliparamia ukuta ikakatika mkia kama sikosehi, hivyo ikawalazimu waiache kwenye compound ya OSAMA, baada ya siku moja mbili Wapakistani wakaelewana na Wachina wakaruhusiwa wakabeba mabaki yake kwenda kwao kuyachunguza!!
 
Israel knows well Iran, from Babilonian Kingdom, Daniel ERA that ni nchi ya hatari. Kiimani zaidi ndio mgogoro huu unatatulika.
 
Spot on mkuu, Hezbullah tangu lini ikahunda DRONES na kuwa na uwezo wa kuziongoza remotely - hivi inaingia akili kwamba Lebanon inaweza kurusu Hezbullah watumie uwanja wao wa ndege kwa kurusha Drones hizi?

Wenye Drones Mashariki ya kati ni Waisrael na infact wanazihuza kwa nchi marafiki, juzi juzi hapa ndio nilisikia kwamba IRAN ina mpango wa kuhunda drones wakishirikiana na Serikali ya Hugo CHAVES.

Waisrael wana mbinu nyingi sana za kutaka kuanzisha vita na IRAN kwa kutumia visingizio vya kila aina, wanacho tafuta ni kutaka kuonyesha DUNIA kwamba IRAN ni TAIFA hatari sana bila kuwa na a regime change basi Mashariki ya kati haitakuwa SALAMA, oh yes the bottom line ni kwamba Israel na Merikani hawataki IRAN iwe na silaha za ki-nuclear Mashariki ya KATI, wakiwa nazo wataifunika Israel ambayo ina silaha hizo na inazitumia(kisaikolojia) ku-blackmail Waarabu. Mimi siamini kama IRAN ina mpango wowote wa kuifuta Israel kutoka uso wa DUNIA, wanajuwa fika kwamba wakithubutu kuivamia au kupiga mabomo Israel basi huo ndio utakuwa mwisho wa utawala wa IRAN.
Hezbollah Secretary General Seyyed Hassan Nasrallah confirms the Lebanese resistance movement has sent a drone deep into the Israeli airspace evading radar systems.


The operation code-named Hussein Ayub saw Hezbollah’s drone fly hundreds of kilometers into the Israeli airspace and getting very close to Dimona nuclear plant without being detected by advanced Israeli and US radars, Nasrallah said during a televised speech late on Thursday.

"This is only part of our capabilities," he stressed, adding that Israelis have admitted to their security failure despite being provided with the latest technologies by Western powers.

Wamemaliza kila kitu sasa vita sijui vitakuwaje mkuu ikiwa Hezbullah anazo Drone Muisrael si amekwisha?
 
Hezbollah Secretary General Seyyed Hassan Nasrallah confirms the Lebanese resistance movement has sent a drone deep into the Israeli airspace evading radar systems.


The operation code-named Hussein Ayub saw Hezbollah's drone fly hundreds of kilometers into the Israeli airspace and getting very close to Dimona nuclear plant without being detected by advanced Israeli and US radars, Nasrallah said during a televised speech late on Thursday.

"This is only part of our capabilities," he stressed, adding that Israelis have admitted to their security failure despite being provided with the latest technologies by Western powers.

Wamemaliza kila kitu sasa vita sijui vitakuwaje mkuu ikiwa Hezbullah anazo Drone Muisrael si amekwisha?

Heshima yako mkuu, sina shaka IRAN ndio iliwapa mafunzo Hezbollah kurusha na kuongoza DRONES; actually Hezbollah waliwahi kupewa silaha na mbuni za kivita na Wairan wakati wa vita vya Lebanon - Israel ilitolewa kamasi na kikundi cha Hezbollah, air raids na vifaru havikufua dafu kwa kikundi hiki; walifanikiwa kuvilipuwa baadhi ya vifaru na magari ya deraya ya Israel, si hilo tu waliendelea kurusha roketi kwenda Israel licha ya Wayahudi kuzitafuta roketi hizo kwa hudi na uvumba wa Hezbollah walikuwa wamejichimbia kweli kweli - sikumbuki ni sorties ngapi ndege za Israel zilirushwa kwenda Lebanon kujaribu kutafuta vituo vilivyo kuwa vinatumika kurushia roketi hizo vile vile walikuwa na usongo mkubwa wa kutaka kumuhua Nasrallah - nafikili Hezbollah walikuwa na mobile launchers za kurushia roketi, nakumbuka Israel ililalamikia sana IRAN kwamba ndio wanawapa Hezbollah silaha na mbinu za kivita.

Vita vya Lebanon vilifanya Israel ipunguze jeuri na ubabe na kuanza kufikilia upya hatma yake Mashariki ya kati, bila shaka wa Israel walifikili kwamba kama kikundi kidogo cha Hezbollah kina weza kuhimili relentless bombing ya Wa Israel bila kuteteleka na infact iliwachukua Waisrael zaidi ya mwezi mmoja wakipigana na Hezbollah na kumbuka Isreal haikuwashinda Hezbollah kilicho tokea ni Umoja wa Mataifa kuingilia kati wakakubaliana kusitisha vita - hilo lilikuwa somo tosha kwa Wayahudi. Swali ni: Je, Waisrael wakijaribu kuishambulia IRAN bila kupata msaada kutoka Merikani kutatokea nini?

Labda nimalizie kwa kusema kwamba, kauli za Hezbollah ku-admit kwamba ndio ilihusika na urushaji wa DRONE si hilo tu na vile vile kufanikiwa kwao kuingia ndani ya Israel kilometer kadhaa bila ya kugundurika na sina shaka Hezbollah na IRAN waliplan flight path to include DIMONA NUCLEAR COMPLEX kuonyesha uwezo wao na kudhilishia Israel kwamba haiko safe kama wanavyo jifikilia - mkuu kitendo hicho ni UJUMBE kabambe kwa Waisrael; oh yes sina shaka kitendo hicho kitakuwa kimewakata maini Wayahudi - watafikilia mara mbili kabla hawajakurupuka kuvamia nchi nyingine kwa kisingizio chochote kile.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom