Si wangetengeneza tu app?
Hata kama zipo gadgets zenye hayo yote, ila kwa kuita 'Islamic smart phone' amewapata!Ukweli ni kwamba aliyetengeneza simu hii amechagua Uislamu kama marketing strategy yake. Lakini si kwamba haya mambo yahapatikani kwenye smartphone. Si Android wala iOS zote zina misahafu ya kila aina. Mpaka tafsiri ya Sh. Ali Muhsin A Barwani ya Kiswahili basi ipo kwenye Android.
Kuna misahafu ya kusomea, ya kufanyia research, tafsiri karibu za lugha zote duniani (tafsiri kwa maana ya tarjuma) Pia vitabu vikubwa kama vile vya hadithi (Sahihi Muslim, Bukhari Ibn Majah na kadhalika) vyote vinapatikana. Tafsiri kubwa kama vile Tafsiri Ibn Kathir, Tafsiri At Tabari nazo pia zinapatikana. Vitabu na calculator za zaka zimejaa tele, na compass za kuonyesha qibla zipo chungu nzima, apps za adhana na nyakazi za sala zipo nyingi. Unachotaka utapata kuanzia
Kwa hiyo kama nilivyosema awali huyu amechagua Uislamu kama marekting strategy yake, tunamuombea mafanikio, japokuwa hakuna jipya alilolileta
Mkuu hapo kwenye bold!! Samahani hebu nipe maujanja ya namna ya kui-access hiyo kitu,siunajua muhimu sana mkuu kazi na dawa. Natumia Galaxy tab 2, Nitashukuru sana mkuu wangu!!
Sidhani kama unajua unachokiandika!
pengine wewe ndio unajua.sema ni kipi sijaandika kwa kukusudia?Sasa hapa tuu upo narrow minded ukifungiwa ktk hiyo android ukapewa kwa dose kiasi fulani cha propaganda sidhan km utakaa uweze think outside the box.
Uhuru wa habari kwa waislam unazidi fifishwa, ni ngumu sana kuja pata fikra mbadala.
saaafi sana. tekinolojia inatumika katika kuelimisha na kumkumbusha mwanaadamu katika kumcha Allah Subhaanahu Wataala. Big Up sana :amen:An Indian company has launched an 'Islamic smart phone', featuring a full copy of the Koran, a GPS application which points to Mecca and a calculator for Zakaat charitable donations. According to the 'Islamic' mobile's creators Muslims are under-represented among the growing ranks of Indian mobile phone users, but they believe their new phone will bring them into the digital world.Source: The Telegraph.Mhhh! an interesting concept.
Ushapotea sana wewe.kwanini usiwe na kila kipatikanacho halafu ukawa una chagua mwenye load apps zako zeoye huo uislam unaoutaka,kuliko kusoma islam only?wenzetu waligundua kutengeneza vitu kwa replaceable.kwanini special phones na special apps.Yaani ulivyofafanua ndio unazidi kudhihirisha kuwa hujui kinachozungumziwa wala hujui kiasi gani uko off point. App ya Qur'aan, app ya adhana na compass ya Qibla vinahusiana nini na uhuru wa habari?
Ushapotea sana wewe.kwanini usiwe na kila kipatikanacho halafu ukawa una chagua mwenye load apps zako zeoye huo uislam unaoutaka,kuliko kusoma islam only?wenzetu waligundua kutengeneza vitu kwa replaceable.kwanini special phones na special apps.
Kidogo mtaomba hata radio na dvd player zinazoplay islamic contents.dunia itawaacha sana mkijidai mmelewa dini sana.