Isaac Ndodi: Umaarufu Gani Huu?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,725
Kwakweli wanajamii najiuuliza kuhusu huyu mtu anaitwa Isaac Ndodi!

Huu umaarufu ni wanamnagani alio nao?

Au sijui ni ushamba, au labda nifikiri kuwa watu wa Arusha wana magonjwa mengi sana yaliyowashinda, maana mapokezi aliyoyapata huyu bwana toka Uwanja wa Ndege wa Arusha LEO hayajapata kutokea, nayafananisha na yale aliyofanyiwa bwana EL MARA alipojiuzulu u-PM!
Alifika na ndege ya Precision ya saa.8.40 mchana.

mIUNDOMBINO YA aRUSHA IMEVURUGIKA KABISA, NA TUMESHUHUDIA jam ZA AJABU!
mSAFARA ULIKUWA WAPATA MAGARI 50!..huh!

Poleni kwa jam! Huyo bwana amejaaliwa kipaji cha kuongea! Sina hakika na tiba zake kama ni mujarabu au la (sijwahi kuzitumia!).
 
Mamamamaaaaa! tapeli kaingia Arusha, jamaa hana lolote anajifanya kutibu kwa elimu yake ya ''Sayansi Kimu" Dar wamemshtukia zamani
 
Watanzania wana matatizo mengi na hawajuhi pa kushika wakati serikali ndio imewatupa, alternative iliyobakia ni kwenda kwa waganga, kuwa mlokole, kuwa mtoa mihadhara, kupiga kabobo, na kutapeliwa na matapeli maarufu (NDODI, DECI), yaani ili mradi upigwe tu,
 
Nina mpango wa kuanzisha KITUO CHA KUONDOA SUMU MWILINI. Najua ntapata umaarufu na wateja kibao. Hiyo ni mojawapo ya biashara zenye soko siku hizi. Kwa kweli Watanzania tumeachwa solemba, sasa tunahangaika tu. Lakini kuna Watanzania (Mafisadi) wanaopasua raha katikati ya shida. Inauma! Tukalilie wapi?
 
Lilia moyoni tu! ukwetu watu wamepoteza matumaini wanamangamanga huku na kule alimradi wanatafuta pumziko japo la muda!!

Kila mtu anaibuka na lake na hakosi wafuasi/wateja
 
Watanzania wana matatizo mengi na hawajuhi pa kushika wakati serikali ndio imewatupa, alternative iliyobakia ni kwenda kwa waganga, kuwa mlokole, kuwa mtoa mihadhara, kupiga kabobo, na kutapeliwa na matapeli maarufu (NDODI, DECI), yaani ili mradi upigwe tu,

Hizo zote ni ishara za jamii iliyokata tamaa
 
Isaac Ndodi ndio nani na anafanya kitu gani?

ni mganga wa jadi/tiba asilia anayetibu watu na pia anatumia biblia katika ku-justify tiba zake za asili....sioni kama hata ni celeb kwa kigezo chochote sema tu ni ULIMBUKENI wa watanzania wengi kiasi kwamba hata wapuuzi sasa wanaonekana/wanaitwa celebs....

na nyie wa-arusha plus wamasai na ujanja wenu wa mitishamba yani ndio mumemwona ndodi boooonge la mtaalamu sio??...basi kweli nnyie wamakumaku kwelii
 
Isaac Ndodi ndio nani na anafanya kitu gani?

Teh teh teh... Huyu bwana anajiita ni mtaalam wa sayansi ya tiba mbadala.

Vile vile ni mwinjilist anayetumia maandiko kuzipa nguvu tiba zake.

Huyu jamaa naongea sana, mcheck star TV kila j4 hahahaha.....
 
Kwanini watu wanafikia hapo? je ni mfumo umewafikisha au ni 'ujinga' wao wenyewe? Kulikoni
 
Be on your knee,siku za mwisho zaja patatoekea manabii wa uongo,lazima muwe makini kuwapembua!
Tz naona huu umasikini ndo unawadrive watu kuwehuka na madhehebu ya kila leo na the so called manabii,mitume
 
Jamani mmesahau kama biashara ni matangazo??????? mnafikiri akale wapi?? wenzetu matajiri wa nchi hii na vigogo walioko madarakani wanafanya ufisadi, yeye kagundua kastaili ka aina yake ka kuweza kumuingizia mshiko, Ningeshauri tu kama kuna wanaohusika wafanye uchunguzi kuona kama kweli hizo dawa zake zinatibu ki-uhakika ama imeshakuwa ni longo longo kama njia ya kuwaibia raia, Huenda pia akawa anatoa huduma iliyo bora lakini sasa kutokana na staili aliyoingilia watu tunaona kama anatuingiza choo cha kike. Natoa wito kwa raia wanapowaona watu wa namna hiyo kujihadhari/kuwachunguza maana utapeli hapa mjini unakuja kwa njia tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom