Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,211
- 3,040
Acha kupagawisha watu humu, lol....at least mara mbili kwa wiki to be specific siku za Ijumaa na Jumamosi.
Wewe kimjamaa chako inaonesha hakiwezi mikiki..lol

Izo siku nyingine mnalala kama kaka na dada au mnabadilisha vitanda au vyumba?
Nikabidhi mwanamke wako....
siku 4 kwa wiki ndio inatakiwa .mbili noma unamaanisha kwa mwezi mara 8 tu?Acha kupagawisha watu humu, lol....at least mara mbili kwa wiki to be specific siku za Ijumaa na Jumamosi.
siku 4 kwa wiki ndio inatakiwa .mbili noma unamaanisha kwa mwezi mara 8 tu?
Matuthi ya nini thatha? Mwanamke wangu umfanye nini? ....
.... Wewe unamdanganya mleta mada kuwa dozi ya x2 ni kawaida wakati si kweli. Usi-impose standards zako kwa watu wengine..period!
siku 4 kwa wiki ndio inatakiwa .mbili noma unamaanisha kwa mwezi mara 8 tu?
Wewe ili kuthibitisha kuwa umelala na mkeo lazima ufanye nae tendo la ndoa!
Ndio mnaokondesha wake zenu halafu mnasingizia wanafanya diet....
Matuthi yako wapi hapo? Wewe si umesema kijamaa hakihimili mikiki, nipe mwanamke wako ili aje kukupa ushuhuda..
Zaidi zaidi, wewe ni muongo kama una mtindio wa ubongo vile.
Wapi hapo nilipotoa authority au conclusion kwamba lazima watu wafanye siku 2? Wapo hapo niliposema mara mbili kwa wiki ndio standard achia mbali kusema hiyo ndio standard yangu?
.
Aisee mwambie huyu, inaonekana jamaa yetu anaishia kushinda JF majukumu ya ndoa hayaelewi vyema.lol