Is this normal?

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
Naomba msaada

Nina umri wa miaka 30 na, nina waifu an watoto wawili na nimekuwa mwaminifu katika ndoa yangu.

Ila sasa naona shida kwani waifu hana hamu na tendo la ndoa kama zamani...na kila tukikutana kimwili, anaridhika baada ya mara moja tu huku mimi nabaki nikitazama ceiling.

Nimejaribu kuongea nae. analalamika kuwa ninataka sana.

How many times is too much in a week?

Je, nifanyeje?
 
Yeye ana miaka mingapi kwa sasa?
Mwanzoni alikuwa anastahimili kwa muda gani!!au ni katabia ka ghafla kameanza?au humandai kama mwanzo ndo maana anakwambia kuwa unataka sana.

Yeye anapenda mara ngapi kwa wiki au hataki kabisa?tafuta ufundi upya inawezekana style zako zimemchosha sana.
 
Yeye ana miaka mingapi kwa sasa?
Mwanzoni alikuwa anastahimili kwa muda gani!!au ni katabia ka ghafla kameanza?au humandai kama mwanzo ndo maana anakwambia kuwa unataka sana.

progress.gif
Yeye anapenda mara ngapi kwa wiki au hataki kabisa?tafuta ufundi upya inawezekana style zako zimemchosha sana.
 
Mwanzoni tulikuwa katika spidi moja... sasa anachoka mapema.... anataka at least twice or thrice a week....

I want more. IS IT NORMAL?
 
Angalia mara mbili zaidi ya unavyomfikiria yamkini anamegwa nje,Ndani anaona mazoea tuu!!!Ni mapema sana kwa umri wenu kuanza kuchoka kimapenzi kwani huo umri wako au wake ndo kwanza ngoma inapigika sawasawa
 
Inawezekana kabisa hamegwi nje labda anachoka tu kwa shughuli zake za kila siku ikiwemo za nyumbani kuwashughulikia watoto na usafi wa nyumba.
 
Wajua kutuandaa sisi wanawake ni sanaa in itself. Kumbuka wakati hamjaoana au kabla ya mtoto maandalizi ulikuwa unaanza tangu asubuhi mfano wakati mnadate ni wazzi kama mlikuwa mnado unampigia simu honey mie leo mwenzio sijiwezi please naomba nikutoe !! basi mwanadada atakaa siku nzima akiiwaza usiku huo ufike, tayari secretion za hormones za penzi huanza kutolewa na mpaka huo muda mtu atakuwa tayari. Na mara nyingi kabla hujampandisha juu utamtolea maneno matamu ya mahaba na pengine utampeleka dinner somewhere apate na ka drink.

Sasa sasa hivi mwakwetu ah uko buzy na kazi zako naye yuko buzy mnakuja kutana kitandani akishamlaza mtoto. tena hakuna maneno ya mahaba unapeleka tu mkono kunako unataka kuendelea.

Kwa kweli huwa inatuput off kwanza kitu kinachokuja kichwani kwaetu haraka ni kuwa' huyu ananichukulia mimi kama chombo cha starehe yake yaani nimelizane na mtoto yeye ananisubiri nimfurahishe(anachukulia kama ni wajibu sasa)

Atakubali akupe si kwa kuwa anatamani la hasha bali kwa kuwa anajua ni haki yako na anahofia usijehisi anakunyima haki yako. So atakupa but hawezi kukupa vingi kwa wakati huo ambao yeye anahisi unamtumia!!

Jenga mazingira ya kumwandaa tangu mapema na kumsaidia shughuli mbalimbali (kama humsaidii) ili asichukulie tendo la ndoa kama wajibu wake kwako!!
 
yamkini anamegwa nje,Ndani anaona mazoea tuu!!!
Mawazo na fikra kama hizi ukiwa nazo zitakufanya usipewe hat amwezi mzima.Ubaki na huenda, labda, etc.Kuwa na mawazo chanya kwa mwenzio na umwelewe ana tatizo gani.

Inawezekana kabisa hamegwi nje labda anachoka tu kwa shughuli zake za kila siku ikiwemo za nyumbani kuwashughulikia watoto na usafi wa nyumba.
Umesema vema kabisa ndugu yangu.
 
Well, wakati mwingine mwili una undergo mabadiliko. Pengine mwenzako sex drive yake imeshuka na tendo la ndoa analiona kuwa kero tu.
 
Mwanamke ukimfrustrate kidogo tu mapenzi yanaisha achia mbali hisia za kufanya tendo la ndoa. Utaishia kunyimwa au kupewa huku mwenzio akisoma gazeti.

Kitachomfanya kuwa na wewe ni mazoea au watoto, ila si mapenzi.

Waenzini wake zenu mpate mapenzi ya kweli, oooh hoooo!
 
Baba, possibility kubwa ni kuwa watu wanakusaidia...Hizi lugha za unataka sana wakati dozi ni ileile ni janja ya hawa wenzetu. Jaribu kuchek mwenendo wake halafu mwenyewe utoe majumuisho.
 
Mi wa kwangu hana noma mambo msuano.....
 
Baba, possibility kubwa ni kuwa watu wanakusaidia...Hizi lugha za unataka sana wakati dozi ni ileile ni janja ya hawa wenzetu. Jaribu kuchek mwenendo wake halafu mwenyewe utoe majumuisho.

watu wanamsaidia watu gani?
Sikiliza kaka yangu ukianza kuwaza watu wanakusaidia utaishia kumchukia mke wako, kaa naye chini kwa upendo umwulize kuna tatizo gani na akuelezee vizuri.
Halafu rudisha yale mapenzi ya zamani ya siku ya kwanza, ambayo yalikuwa yanamfanye awe na hamu na wewe sana na asichoke, kama kuna vitu vimepungua kwenye mapenzi yenu lazima atakuwa na kitu rohoni.
Halafu labda pia wakati wa kujifungua kuna matatizo alipata kwa hiyo hasikii ladha aliyokuwa anaisikia toka mwanzo anaona kero ndo maana anakuambia amechoka. Lazima kuna tatizo kama siyo la kiafya la kiakili, lakini swala la kumegewa uwezekano ni mdogo.
 
Mwanamke ukimfrustrate kidogo tu mapenzi yanaisha achia mbali hisia za kufanya tendo la ndoa. Utaishia kunyimwa au kupewa huku mwenzio akisoma gazeti.

Kitachomfanya kuwa na wewe ni mazoea au watoto, ila si mapenzi.

Waenzini wake zenu mpate mapenzi ya kweli, oooh hoooo!

waambie ndugu yangu!
 
huwa inatokea but in most cases husababishwa na hizi njia za kisasa za uzazi wa mpango. I have a personal experience with my partner and we managed sorting it.
 
Lakini pia wanawake wengi huwa wana experience decreased libido after child birth. Pia baada ya kuzaa, hormones zao huwa zinavurugika vurugika. Na kama ijulikanavyo, hormones zina mchango mkubwa sana ktk sex drive ya mtu.
 
mnatakiwa kufanya tendo la ndoa atleast mara 4 kwa wiki.sio chini ya hapo.inabidi utafute mbinu mpya za kumsisimua.
 
Back
Top Bottom