Is it true that KANUMBA Freemasonry WAS?

380617_333378376725697_100001606112228_969161_848230302_n.jpg tuzo ya ziff ya ze late kanumba,ikiwa sakafuni kwenye nyumba aliyokuwa akiishi
553124_333380943392107_100001606112228_969167_2133687035_n.jpg Huyu nae msanii kioo cha jamii.
562210_333002153429986_100001606112228_967674_4723869_n.jpg AY naye anatafuta washabiki.
 
Inawezekana ni ulimbukeni na wala hawa si wachawi ila la msingi ni kujenga kizazi
kisichokuwa na akili za kimizimuzimu maana what you dream to be is what you are in actual sense.
 
kwani we kinachokushangaza ni nini? Mbona hukuuliza hilo swali kabla hajafa wakati picha ulikuwa nazo? Nahisi umetumia masaburi, yeye ndo angetakiwa kujibu swali hilo na sio sisi.

Hapo kwenye red mkuu, du wewe ni noma, unaongeaga ki fallacy katika philosophy inaitwa cast generalization. Hah hah hah hah.......!
 
Kama ni kweli kajitoa yeye badala ya mama yake itakuwa upendo wa hali ya juu sana!
Am sure kama angemconsult mamaye lazima angesema kama ndo ivyo mwanangu ngoja nitangulie!
All in all ameshakufa yatasemwa mengi sana!
 
Haya mambo ya freemason ni upuuzi mtupu! Mimi nayalinganisha na imani za kishirikina. Ni yapo kwenye fikra za watu tu.

Nakuunga mkono mkuu, naona yanakuzwa sana. Hasa usiseme na watu wa kawaida ila wale walokole walioishiwa la kuubiri na ujikita katika kuelezea kitu ambacho kiweza kuoghofya. La msingi ni kuwa hawa jamaaa wapo ila wanavyoelezewa ni beyondi normal.
 
Kijoka nenda English Course. Laiti tungekuwa tunaishi karibu ningekupa tuition ya bure lau uepuke aibu. Mara nyingi tumieni lugha zenu hata kama ni kimakonde. Maana ukisoma kichwa cha habari unavunjika moyo na kukosa hamu hata ya kuchambua hoja.

Ni typing error mkuu. Nadhani ata kama napigwa chenga hiyo heading ni rahisi kwa mtu yeyote kuiweka sawa. Ila naishi karibu sana na wewe hivyo ukinipa kozi ntaongeza chochote ingawaje sitakuwa kama mwingereza hasa kwa upande wa matamshi!
 
Siyo kweli.

Sifa ya freemason ni kujifanya mfuasi na muumini mzuri wa dini yake ( iwe ni uiaslamu, ukristo, uyahudi nk), na huwa mstari wa mbele kutoa misaada kwa yatima na wasiojiweza. Vilevile ni wahudhuriaji wa mazishi wazuri sana. Hii ni kutaka kuonyesha kwamba ni watu wanaojali na wenye roho za huruma kwa jamii inayowazunguka..!!!

Kumbuka kwamba marehemu Kanumba alikuwa msanii.

Umejaribu kugusia tu aina fulani ya members jst go deep
 
Hata web ya freemason walisema kuna wasanii wawili wa movies za bongo ni wanachama. Pia usikariri, Freemason sio kuvaa tu nguo za ajabu.
 
Nipe web yao pls!

nakumbuka niliona kwenye forum yao. Kama unakumbuka kuna yule jamaa aliyeamua kufichua siri zao akasema kuna mastaa maarufu, mojawapo wapo wawili wanaoigiza movies.
 
nakubaliana na wewe mkuu.....huu ni upuuzi fulani hivi.

maana, kama freemasons wanakuwa defined na signs hizi hapa chini, ni binadamu gani dunia hii ambaye si freemason??

1 pointing of the index finger in a photograph (the index near the eyes and near the mouth are distinct masonic signs. Pointing the index straight at the camera, is also a sign seen often in newwspapers.
2 the ubiquitous ok sign
3 the fist
4 making a pyramid with the forearms
5 the hand in play (holding an invisible ball with one or both hands) very common
6 the hand on the heart for no explained reason (like oath swearing etc)
7 masonic handshake (the thumb is seen turned downward and pressing the other person's knuckle)
8 eyes looking up for no explained reason (immitation of pictures of Jesus on the cross)
9 looking above the glasses in a picture
10 touching the glasses in a picture
11 hands on the nectie in a picture (distress signal)
12 hands on the neck (distress signal)

Una maana ya hizi alama sio?
 

Attachments

  • acodex_53.jpg
    acodex_53.jpg
    45.9 KB · Views: 215
  • Freemason Handshake Benedict Michelle Obama.jpg
    Freemason Handshake Benedict Michelle Obama.jpg
    33.3 KB · Views: 258
  • Sistene Chapel Masonic God Hand.jpg
    Sistene Chapel Masonic God Hand.jpg
    88.7 KB · Views: 203
Back
Top Bottom