Is it African Gold Mine (AGM) or fraud?

mischa

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
368
176
Mnamo wiki iliyopita nilipigiwa simu ilisema anapiga kutoka African Gold Mine(AGM)akisema cv yangu imepita katika hatua nyingine kwahiyo wiki lijalo kuna interview iwapo ningependa kupita kwenye hiyo interview nitume hela ya maji ya kunywa huyo bwana Hamisi Rashidi na John Kulomo,je ni haki au dhuluma? AGM chunguzeni sana itawaharibia sura ya shirika.
 
hiyo ni scam ndugu usitume hela ikiwa unatafuta kazi,its unprofessional kwa kweli bongo imekuwa jaa
 
Ulishawahi kuomba kazi kwao? kama jibu ni ndio...tafuta namba za ofisi yao uwajulishe hilo....kama hukuwahi kuomba kazi kwao achana nao!!
 
Ulishawahi kuomba kazi kwao? kama jibu ni ndio...tafuta namba za ofisi yao uwajulishe hilo....kama hukuwahi kuomba kazi kwao achana nao!!

Niliomba post ya Community Relations Officer,,,well good idea ngoja niwasiliane nao.
 
kama unataka kazi si utume

If you earned your education rightfully you wouldn't answer this way,what guarantee do you have that at the end of the day the job will be yours? wangapi wamehonga? nataka kazi lakini my ability should be evaluated to get the post not MONEY!
 
Mnamo wiki iliyopita nilipigiwa simu ilisema anapiga kutoka African Gold Mine(AGM)akisema cv yangu imepita katika hatua nyingine kwahiyo wiki lijalo kuna interview iwapo ningependa kupita kwenye hiyo interview nitume hela ya maji ya kunywa huyo bwana Hamisi Rashidi na John Kulomo,je ni haki au dhuluma? AGM chunguzeni sana itawaharibia sura ya shirika.

Pole kijana,Barrick hawana njaa kiasi hicho,ndio kwanza ukiitwa interview kule unaporudi huwa wana kurudishia gharama ulizotumia zote,usafiri,hotel nk....Matapeli wa mjini hao.,usije ibiwa ndugu.
 
Back
Top Bottom