Iringa Mjini: Makamu Mwenyekiti BAVICHA, Patrick Ole Sosopi akamatwa na Polisi

Mhalifu anakamatwa popote
Raisi mwoga alidhani kutawala ni kidali poo kazi atapambana na chadema atashangaaa hatimizi hata ahadi moja atabaki nahamia Dodoma huku akitaka kutumia chuo cha Dodoma no planning Zaidi ya kupambana na chadema
 
Unajua kuna watu walijilimikisha migodi na engine ngalawazao zilikamatwa na Nyara za wanainchi . Jamaa wana thubutu hats mutuandakia Katiba, vipi viungu hivi?
 
Kwa nini polisi wanaadhibu watu wanaofanya kazi yao kwa kufuata sheria lakini wanaovunja katiba ya nchi kwa kisingizio eti hapa kazi tu hawakamatwi. Mkuu mwenyewe anafanya mikutano ya siasa lakini yeye anazuia wapinzani kufanya siasa. Halafu anamwomba Mungu amsaidie.
 
Polisi hawajawakamata hao wagonjwa wanaotembelewa...
nchi ya viwanda imejaa maajabu na vituko kwelikweli na sijui awamu hii woga ni wa nini hasa.
Anyway yangu ni macho na masikio hadi mwisho wa season iliyojaa numbered of Series za Movies.
 
They are dealing with the objects(people) of the Ukuta operation instead of dealing with the spirit that has been created by the operation ....dealing with the objects is always possible bt dealing with the spirit is always an issue
 
Makamu M/kiti BAVICHA Patrick Sosopi akamatwa na Polisi Iringa Mjini kosa halijulikani mpaka sasa.

Amekutwa Hospitalini akiwa anatembelea wagonjwa waliolazwa, yupo Katika Ofisi ya RPC Iringa.

Taarifa zaidi kuwajia.

Ana MGONJWA wake au aliamua kufanya utalii kuzurura kwenye wodi walikolazwa wagonjwa?
Yeye sio daktari wa kupita kitanda hadi kitanda.Kutembelea wagonjwa huhitaji vibali kama unataka kutembelea wodi nzima au wodi kadhaa.Huwezi tu kujizungukia tu
 
Back
Top Bottom